I never thought it'd come a day that....

Aseee mkuu huu ndio muda wa at least kufanya selection,there's no other than this we're hiting, unadhani kitabu bila hayo mavitu kinapandaa???
Afu kama anahisi kua she's loosing both sides, kwanini hakuomba msamaha tuendelee na love yetu...


Mdogo wangu unafanya investment sehemu risk sana, kamsaidie kulia basi!
 
Xyz 123 simply umemaanisha, ukitaka kufaidi mapenzi unatakiwa kuwa kauzu....
It sounds awkward too. If that's your sense of gentlemanliness.

Hahaahaaa...! Siyo ukauzu mkuu, ukauzu na ugentleman ni vitu viwili tofauti. Kumcontrol mwanamke ni wajibu wako na ni dhambi usipoutimiza, ukauzu ni kitu kingine, Ukauzu unajumuisha mpaka kukwepa majukumu yako ya msingi wewe mwanamume nao ni ukauzu pamoja na harsh treatment kwa mtoto wa kike.

Ila ugentleman unaashiriwa na kufanya jambo la kiume, kwa wakati sahihi na inapobidi kuact kama mwanamume. Kiufupi ni kutimiza wajibu wako. Kuna mambo mengi yanaweza pelekea wewe kutotimiza wajibu wako, niloyaeleza katika post ya juu ni baadhi tuu.
Utakujaga kuelewa namaanisha nini.
 
Last edited by a moderator:
Ukiruhusu third part aingie ndani ya mahusiano yako
 
Spare tyre kubali tu !! Kikubwa akikupa papuchi unapiga show ya kufa mtu ili awe anakupa mkwanja wa huyo jamaa
 
Pole mkuu tatizo mapenzi huwa hayana macho sasa fanya kile kilicho moyoni mwako hapa utashauriwa mengi but at the end of the day utafanya upendacho .
 
Reactions: BAK
Sijui kama amekuelewa.
 
cha kwanza mshukuru Mungu amekuwa muwazi wengi wao wanaficha na unaumia sana baadaye....let her go....
 
...Kama ndiyo hivyo bila shaka ataomba ufafanuzi. Mzima lakini weye rafiki?

Namshukuru Mungu mzima kabisa . Unamuona mdogo wetu anavyosumbuliwa na hayo makitu si unajua huwa hayana ushauri na wahenga wanasema eti hayanaga macho ie yana upofu flani hivi sasa hapa atashauriwa weee lkn mwisho ataufuata moyo.
 
Reactions: BAK
Nafurahi kusikia uko bomba rafiki, Mungu ashukuriwe sana. Masuala ya mapenzi magumu sana ndio maana hawakukosea waliosema "mapenzi upofu" mara nyingi watu hufuata mioyo yao pamoja na kujua athari zilizopo. Uwe na usiku mwema rafiki.

Namshukuru Mungu mzima kabisa . Unamuona mdogo wetu anavyosumbuliwa na hayo makitu si unajua huwa hayana ushauri na wahenga wanasema eti hayanaga macho ie yana upofu flani hivi sasa hapa atashauriwa weee lkn mwisho ataufuata moyo.
 
Wenzio huko vyuoni huwa wanagonga na kutambaa, sasa hangaika kujenga vibanda kama hujadisco.
 
Mapenzi bwana.ukiona mtu anaomba ushauri basi asilimia kubwa ni kwamba tayari ana majibu yake ila anataka kuhakikisha kama yupo sahihi

Wewe jamaa umekamatika na kumuacha huwezi hivyo unataka uendelee naye kwa hali hiyo ambayo huyu binti anataka iwe hivyo pia.

Kuna mawili hapo kumbuka,moja ni UKIMWI na mbili hutokuwa na amani sababu ya wivu na akimaliza kukucheat na huyo atakuja kukucheat na mwingine later sababu wewe si umeridhia.Kubwa kuliko yote ni kupoteza muda wako na concentration kwenye masomo

Suluhisho ni kuachana naye,concentrate na shule jiweke busy eventually utasahau.Kama uliweza kumpata yeye hutoshindwa kumpata mwingine kama yeye.Ila jifunze kuwa mapenzi ya chuo mengi ni hela mbele,wanawake wakienda kufanya field maofisini hurudi wakiwa na mabwana wapya so usipende kindezi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…