Du kweli vijana hawana tena nguvu, bao moja unakwama la pili pole sana...fanya mazoezi, punguza mawazo ukiwa ktk jambo hilo, acha kula chips, we mwanaume kula ugali ukiweza nyama choma kila siku, hakikisha unakuwa umeshiba, nimeshangaa kweli...moja sijui mbili du basi bwana, ACHENI KULA CHIPS WAACHIENI AKINA DADA,
USHAURI: KAMA UKIWEZA KUOA BORA KUOA KWANI HAPO UTAKUWA NA AMANI