I need your advice!

almaige

Member
Mar 27, 2013
19
3
kati ya CIVIL ENGINEERING & MECHANICAL ENGINEERING. nichague ipi wadauu.
 
kati ya CIVIL ENGINEERING & MECHANICAL ENGINEERING. nichague ipi wadauu.

Mimi ninakujibu kama civil engineer. Wakati ninakwenda chuoni UDSM (more than 40 years ago) kulikuwa na umuhimu fani gani ya kuchagua. Kwa sasa nakushauri ufuate moyo wako. Ninasema hivi kwa sababu fani zote (civil, mechanical, electrical, chemical, process, IT) zinahitajika sana popote pale duniani. Cha muhimi ni kuhakikisha kuwa una IT (information technology) proficiency nzuri katika fani unayoichagua. Mimi ni professor wa civil engineering. Kama una maswali mengine ni-PM tulonge.
 

sawa mkubwa! asante kwa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…