I need you to...

Yeah hii inaitwa laivu bila chenga...

For his majesty King of Ikungulyabashashi.... J.J
They call him James....
hahaha J amekushika pabaya maana mpaka amekukurupua huko shimoni kuja kuandika haka ka song,si mchezo
 
Asantee, shaka ondoa. Hakunaga Kasie feki....
Kila kitu kwa Kasie ni asilia kuanzia rangi hadi jina....
Sema kingine baba...
Welcome back my daughter, missed you sana. Kwa kuwa hukuniaga nitakupiga faini ya hizo chenji chenji.
 
Welcome back my daughter, missed you sana. Kwa kuwa hukuniaga nitakupiga faini ya hizo chenji chenji.

Hahahahahahahahaha umenipa utata ujue hehehehehee.....
Am your daughter so you are my father.... sasa nikataka kusema hakuna tatizo daddy ila mmmhhh my daddy is my dadiiii.... hahahahahaa if am your daughter you should be my father not dadii hahahahahahhahaa

Saying that; no prob, fine ntalipa tuu father hahahahaa sasa hapo kuna hatihati ya father kuwa inamaanisha baba paroko..... hehehehehehehheheee

Good Morning Fakalava you made my morning.
Have my hug.
 
Yeah.. I'm your father not daddy, you know what I mean, and sharing some stuff with my daughter is allowed, ha ha haa... you know?

Nasubiria hilo kumbatio, kabla hujaenda kwa James ukuje huku kwanza.
 
Yeah.. I'm your father not daddy, you know what I mean, and sharing some stuff with my daughter is allowed, ha ha haa... you know?

Nasubiria hilo kumbatio, kabla hujaenda kwa James ukuje huku kwanza.

Oooh thanks for making clear that you are my father..... hahahahahaa what I know is, sharing is caring...

Kumbato la baba aka father ni la pekee na huwa linakuwa na baraka na upako tele...
Nakuja father.... nnavyo penda baraka na upako.... jiandae kunipokea kwa mikono miwili...
 
That be the name...James...James Jeddah.

Mutton koromije baby!

Sunga kingdom all day everyday!

Oooh my gooosh.....!!! Here he is.....
Mutton Koromije darling..... hahahahahahahaaa

Ooh yeah.. . Sunga Kingdom always....

You are adorable James.... Kasie's smile to James Jeddah is endless... she always smiles whenever she reads his words or hear his voice....
Mmmuaahh!!
 
Hebu tupia picha ya Sunga basi....

Na ya ile fish koromije......

Hapo ndo Sunga Kingdom ukiwa kwa ndani my king.....

That's Fish Koromije my Ikungulyabashashi beibee
 
baby mwenzio nasinzia hapa yani .. imebidi ninywe kahawa . halafu baby leo tusifanye kitu sababu loh hoi mwenzio jana uliyoyafanya nasinzia nimelegea legea hapa
pole my love... usijari nitakuvizia ukiwa umelala... sawa baby..!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…