Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,523
Golden Chance never come twice!Kweli eh
Daaaah!!!!Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.
Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.
Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.
I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
Naomba unikune jamaniKatoto kanawashwa
Mchnganyiko end of the day jamani πππHuu ni wimbo au ushairi
Eti kwa hiyo nifanyaje??Golden Chance never come twice!
Njoo PMEti kwa hiyo nifanyaje??