katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Ovulation tena!Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.
Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.
Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.
I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
😂 😂 😂 😂 au PMSOvulation tena!
Atakuelewa piga moyo kondeSijui nikutag utanielewa
Nikikutazama roho yaniuma naweweseka kutokuona kabisa.
Nakuota mpenzi wangu nakuhitaji laaziz wangu nakupenda mpenzi wangu usiku nakuwaza hadi napata homa.
Tukigombana napatwa na presha nasina hamu yakula wala kunywa .
Nakosa usingizi kisa wewe mpenzi .
Nakupenda sana sana bila kifani.
Ulinipa nini jamani wangu hadi nachanganyikiwa hivi mapenzi yako yanemtoa katoto kazuri mafichoni.
I LOVE U I LOVE I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I LOVE U I REALLY LOVES U.
Kweli ehI love you crazy katoto kazuri
Tatizo i need someone near your farI love you crazy katoto kazuri
Niache ngonjera dah hayaNimekuelewa njoo kwa muromboo ule mbuzi uache ngonjera.