I need advise or help if you can do this for me

Pole mdogo wangu ndo dunia hiyo kuna watu wabaya kuliko wanyama nashindwa kuelewa ila naona umejikita sana penye kazi ambao ki ukweli ndo njia rahisi na watu husema kuliko mtu akupe samaki ni bora akufundishe kuvua samaki.
Pana mdau siku za nyuma alikuwa na tatizo la kodi alijieleza na watu waungwana wenye mioyo safi walijitolea kutoa ni moyo usambe si utajiri.Nadhani unaweza hata kufanya upembuzi mdogo wa biashara ndogo ndogo kisha ukaiweka hapa wadau tunaweza kujipigapiga jamiiforums.com ni familia kubwa ingawa najua pana watu watakuja na kusema mimi hela wenyewe ya bando naipata kwa ngama.Na wengine husema sijui anaweza kuwa tapeli ila ndugu zangu suala la kutoa tutoe na mungu atatuongezea.
 
Thank you Mkuu kwa ushauri mzuri Sana... Nina rafiki angu mmoja tulitengeneza wazo la kutafuta mtaji walau WA laki sita hadi 8 then tuanzishe kibanda somewhere (rafki yangu anapajua na wanamgahamu) tuuze vifaa vya cm, na maswala ya kutengeneza cm (ye anaujuzi WA kutengeneza cm) na tuweke m pesa na tgo pesa nk... Au hata kufanya biashara ya max malipo kuuza luku na kadharika... Kwa eneo lile alolitaja yeye Ni kweli biashara itaenda na itafanikiwa Sana ILA tatizo Ni kupata mtaji wote huo.. Is true ILA niliogopa kuomba mchango WA pesa kwa watu hasa jamii forum caz some people may think that I'm some kind of tapeli... ILA ukweli nikipata huo mtaji hakika tafanikiwa....umenikumbusha jambo kubwa Sana ambalo nilikuwa nishalisahau na kuingiwa hofu kuwa SI rahisi kupewa na watu kiasi chote hicho na nikakata tamaa kwamba lazima nitafte kazi ili ndo nifanye savings ikitimia hiyo hela ndo nikaamzishe hiyo biashara na rafiki huyu...
 
Humu humu jamiiforums.com pana waungwana wengi tu kuliko hao wa kujistukia kiukweli utapeli upo lakini usitufanye kila mtu akose msaada kisa utapeli jaribu kuunganisha uzi au anzisha mwingine huwezi jua hata kama haitakuwa pesa yote ila si haba unaweza kuambulia kitu fulani something is better than nothing.
 
Acha kulalamika,we focus mbele na kama kuna mali za urithi usizifikirie we songa mbele!
Kuna wakati baba,mama zetu huwa wanafanya makosa ktk malezi!
Wrote tushapitia maisha ya tabu na tunayaelewa yawezekana watu tushapata matatizo na kuyajua kuliko wewe!
Alafu usipende kuishi kwa kulaumu laumu ishi maisha ambayo utawaonesha wale ambao hawakutaka maendeleo yako .....waje waone kuwa unaweza!
 
Thank you so much na Hilo ndo ninalowaza... Wakati naandika kuhusu hayo ha ndugu kutufanyia vile.... I was full of anger sababu aliniikumbusha mbali Sana niliemquote that's why... But natafuta kupata maisha yangu mwenyewe now na huwa sifikilii kabisa kuhusu ndgu na yaliyopita (japo kama binadam Kuna some extents nafikia na nakumbuka mambo mengi na kulaumu) ... Asante kwa ushauri mkuu
 
Uwiiiiiii katutukana .....
 
na hili kabila letu kwa kunyang'anya Mali za marehemu cjui wataacha lini Dahh serkali kuna ya kuleta semina elekezi kwa hili kabila langu ....

pole mnyakyusa mwenzangu Mungu akuongoze katika hiliii
 
Achana na mali hizo achana nao,we Focus ktk maisha yako tu!
 
Achana na mali hizo achana nao,we Focus ktk maisha yako tu!
 
Usijali na inshallah magum yako yatakua mepesi Mwenyezi Mungu akutangulie
Nimeipenda hii maneno machache ila mazito kwa mungu kila kitu kina wezekana ukimuamini na kujikabidhi kwake na kufanya unachofanya kwa juhudi na uaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…