I NEED A WOMAN

Humorous Junior

JF-Expert Member
Jul 19, 2018
1,598
1,408
Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti, yaani degree nyingine kwa njia ya masafa katika chuo kimoja kipo QATAR. bado sijaajiliwa!
Natafuta mpenzi mwenye kuanzia miaka 29 mapaka 35, asiwe tegemezi akiwa na kazi yake vizuri sana kwa kuwa ni yake sio yangu!
Asiwe mfupi awe mrefu kiasi au zaidi poa tu mimi nina urefu wa futi 5 na nchi 7. rangi maji ya kunde nina mwili wa mazoezi ila kwa appearance unaweza kusema nina miaka 25 au hata 22. naonekana kitoto hivi kama.

Asiwe mweusi, awe na namba 8 kwa sababu sina hisia na wanawake wembamba ndugu zangu ukweli muhimu tu au kwa lugha rahisi kwa mfano uwe kama wema tu. Ukiwa muislamu vizuri zaidi kama ni mristo uwe tayari kubadili dini wakati wa kufunga ndoa. Usiwe na mtoto. Am just serious ukweli na uwazi ni muhimu tu. mimi sina mtoto hata wakusingiziwa. kwa sasas nipo tarime, mara. ni pm tuyajenge kama upo serious kwa mahusiano ya endelevu. unaweza tumia email pia: nachubai1997@gmail.com
 
Utapiga hasara hatari... ukiuza wapenzi 10 tano wataachana kabla miaka yako mitano haijakwisha.

utanitafutia mwingine au unanirefund?
Simpaka ....nitasikiliza kwanza sababu zilizowafanya mkaachana...
Naongelea Ndoa, na sio mahusiano.
 
Habari wana mmu! mimi nikijana wa miaka 29 ifikapo 29 october mwaka huu. Nina elimu ya chuo kikuu nimehitimu mwaka 2017. na sasa nipo katika mchakato wa kuongeza elimu yangu katika fani tofauti, yaani degree nyingine kwa njia ya masafa katika chuo kimoja kipo QATAR. bado sijaajiliwa!
Natafuta mpenzi mwenye kuanzia miaka 29 mapaka 35, asiwe tegemezi akiwa na kazi yake vizuri sana kwa kuwa ni yake sio yangu!
Asiwe mfupi awe mrefu kiasi au zaidi poa tu mimi nina urefu wa futi 5 na nchi 7. rangi maji ya kunde nina mwili wa mazoezi ila kwa appearance unaweza kusema nina miaka 25 au hata 22. naonekana kitoto hivi kama.

Asiwe mweusi, awe na namba 8 kwa sababu sina hisia na wanawake wembamba ndugu zangu ukweli muhimu tu au kwa lugha rahisi kwa mfano uwe kama wema tu. Ukiwa muislamu vizuri zaidi kama ni mristo uwe tayari kubadili dini wakati wa kufunga ndoa. Usiwe na mtoto. Am just serious ukweli na uwazi ni muhimu tu. mimi sina mtoto hata wakusingiziwa. kwa sasas nipo tarime, mara. ni pm tuyajenge kama upo serious kwa mahusiano ya endelevu. unaweza tumia email pia: nachubai1997@gmail.com
Unaringaa sana ndio tatizo wala sikutakii heri eti unataka warefu sio wafupi hutaki mwanamke tegemezi unataka mwenye kazi yake nzuri so unataka utunzwe sindio hiyo ndio dalili eti hutaki mwanamke mwembamba unataka umbo namba nane na ujue hao wanatunzwa sio wanaumbo namba nane kihivi tu.
Au ndio unawataka ili wanaotunza hiyo migodi uhemee dhubutu???
 
Taratibu wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom