Excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 19,790
- 10,153
Habari za weekend wananchi wenzangu,Mimi ni mwanamke adult ,nina mvuto wa kutosha ila sijabahatika kumpata bwana wa Maana
Sometimes huwa namiss company ya kiume,just to share mambo with,to have drinks hapa na pale clubs na vitu Kama hivyo
Someone to hug and kiss but not sex,coz hakuna anayenifikishaga kileleni,nimechoka kuchafuliwa
khaaaa!!!! yani mpaka sasa hujawahi kufika kibo wala mawenzi?
mkuu Bujibuji hebu njoo huku ukumbushie!
Last edited by a moderator: