Genderi Senior Member Joined Dec 26, 2011 Posts 102 Reaction score 17 Oct 21, 2012 #1 Muonja asali haonji mara moja
moto2012 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 2,309 Reaction score 1,552 Oct 21, 2012 #2 Kusoma mali, ila nafikiri he means the opposite!!
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 837 Reaction score 628 Oct 21, 2012 #3 Huyo ndiyo sharo wa kijiji ambaye anaaminika kwa kusoma barua za kiswa-english toka mjini.Hapo kashawalisha sumu washkaji kuhusu maana ya hayo maandishi. Ama kweli, lugha ya malkia ni noma.
Huyo ndiyo sharo wa kijiji ambaye anaaminika kwa kusoma barua za kiswa-english toka mjini.Hapo kashawalisha sumu washkaji kuhusu maana ya hayo maandishi. Ama kweli, lugha ya malkia ni noma.
StayReal JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 518 Reaction score 147 Oct 21, 2012 #4 Hii sasa hatari...does he have any idea what those words means!
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 Oct 21, 2012 #6 Genderi said: View attachment 68898 Muonja asali haonji mara moja Click to expand... Mkuu Genderi Angalijuwa maana ya neno lililoandikwa katika kifua cha fulana yake asengelivaa hiyo fulana lakini ahhh Usililo-lijuwa halitakusumbuwa.
Genderi said: View attachment 68898 Muonja asali haonji mara moja Click to expand... Mkuu Genderi Angalijuwa maana ya neno lililoandikwa katika kifua cha fulana yake asengelivaa hiyo fulana lakini ahhh Usililo-lijuwa halitakusumbuwa.