I need a guy

Ngoja mwenyewe aje hapa aseme. Utatuweza sote? Mapenzi na matunzo.
Wewe njoo hakuna haja yakuuliza mwingine wewe kwa akiri yako unadhani akija hapa atakujibu unavyotaka?/ni nani anataka keki yake kuigawa mara mbili??
 
Wewe njoo hakuna haja yakuuliza mwingine wewe kwa akiri yako unadhani akija hapa atakujibu unavyotaka?/ni nani anataka keki yake kuigawa mara mbili??

Ukewenza mkijuana na kukubaliana ni vizuri, maana tutakuhudumia ipasavyo. Hujajibu swali langu. Upo tayari kutuhudumia sote? PM me ur no.
 
Mie nipo ni PM tujuzane fresh ila na wewe mzuri sio nikute kituko kama betina wa kwenye sani..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…