I need a girl tufanye nae mipango ya maisha seriously

kuwa makini huku wapo wengi wanatakao kuhoji na kutaka kujua kazi yako, rank, mshahara, kama una nyumba na gari. Ukimwambia huna unasikia eti kila la heri utampata tu umpendaye. wanajinadi tena kama bidhaa nyingine tena bila aibu anajinadi eti sitaki mtu bahili.. kwani imeandikwa wapi wewe unatakiwa kuhudumiwa kama mlemavu?
 
hapana mkuu me ndo nipo namalizia degree nataka nianze maisha kabisa

ulisoma nao primary vipi? o level je? advance je? hapo chuoni vipi? majiran zako je? unako pita kooooooooote huwaoni?
anyway kila la kheri
 
kuwa makini huku wapo wengi wanatakao kuhoji na kutaka kujua kazi yako, rank, mshahara, kama una nyumba na gari. Ukimwambia huna unasikia eti kila la heri utampata tu umpendaye. wanajinadi tena kama bidhaa nyingine tena bila aibu anajinadi eti sitaki mtu bahili.. kwani imeandikwa wapi wewe unatakiwa kuhudumiwa kama mlemavu?

Ni kweli mkuu nakuunga mkono na hao watu wanachenji id kilasiku kutafuta wenyepesa akikupata anaomb umtumie pesa kila siku usipotuma penzi nae huna
 
kumbe ndo hapa kulivyo nimeahirsha wadau wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom