labda:
Naahidi, si unajua ili ujulikane umesoma lazma uchanganye na lugha iliyokuja kwa meli, lakini tatizo ni kusomea St Kayumba unajikuta umeharibu kabisa lakini uswazi tunapeta duh.
Hilo ndile tatizo za shule zetu za st kayumba kwamaana kwa kipindi hiki watu wengi wakisikia mtu amaonge lugha ya kigeni unajulikana umesoma ndio kibongo bongo
Ombi lako na kwa umri huo peleka facebook, huku naona ni kama unapotea vile! Otherwise ningekushauri upige shule kwanza na huyo girl friend umtafute hukohuko UDSM, maana ndo utawapata wengi wa size yako. Ni ushauri tu kaka.

dogo asome kwanza. Uko 1st year na ndo umefika hata utambulisho wa chuo hujamaliza umeshaanza kufikiria mademu! aah ndio 2takaosikia mmejirusha kule Mabibo Hostel!
dogo asome kwanza. Uko 1st year na ndo umefika hata utambulisho wa chuo hujamaliza umeshaanza kufikiria mademu! aah ndio 2takaosikia mmejirusha kule Mabibo Hostel!
Umenikumbusha miaka ya 2005 kuna jama alikuwa anasoma Masters alijirusha ghorofani Main campus UDSM kwa mambo ya mapenzi na mwingine alikunywa sumu 2006 pale Mabibo hostel. Awe serious na shule kwanza hao wasichana atawakuta tu wengi sana mtaani.