I Miss you very much

Wakuu, kwa vipindi tofauti tumekutwa na misiba ya wapendwa wetu na hasa wale tuliowategemea. Tumshukuru Mungu kwa neema aliyotujalia hadi leo tupo salama na tuendelee kumuomba Mungu upendo wake.
 
Bora umefanya hivyo. Mama alikuwa anapenda kusema 'NOBODY NOTICE WHAT I DO UNTIL I DONT DO IT' It haunted me alipofariki. Nilijisikia i never appreciated her enough. Nilijaribu kuwaza mara ngapi nilishamuambia nampenda? Hadi siku moja nikaenda nyumbani likizo na kuamua kusafisha chumbani kwa baba. Nikakuta congrats card ya one of her graduations na yellow note niliyomuandikia. Nadhani nitaifungulia thread nikipata muda. Lakini nilikuwa nimemuambia nampenda,she is an insipiration to all of us and all that. Hapo roho yangu ikapata amani. Bado natembea na hii note hadi leo!
Aisee Smile u guys mmenifanya nimpigie mama yangu simu asubuhi yote hii mpaka ameshangaa....we should never take these moments for granted i see. Alafu kweli jana ilikuwa Kantate Domino ila mi nlitoroka saa tatu aisee...ooops!!!
 
Last edited by a moderator:
Oooh God! Nimejikuta natoa machozi, pole nameless hauko peke yako mamii tuko wengi, mimi nina miaka kumi na moja sina mama, but kila jambo huja kwa sababau na kazi ya Mungu haina makosa, kikubwa ni kuwaombea. Tunawamisi jamani mama zetu

Wewe unampenda nasiye tunampenda Lakini Mwenyezi mungu anampenda zaidi......yuko kwake !!
 
Smile hauko peke yako mamangu, ni kweli wameondoka tukiwa bado tunawahitaji sana, lakini mambo yote ni mipango ya Mungu, huwa napata nguvu sana niaposoma maandiko matakatifu, yanaifariji na kunitia nguvu sana. Mamangu pia alikuwa akiimba kwaya ya wamama so kwa mfano siku kama ya jana kantante domino kwanza tungeimba wimbo wa familia, lol! Lakini tunayaweza mambo yote katika yeye atutiae nguvu, nafarijika sana pia nikisoma zaburi ya 121

ram what is your family song? I thought ni sisi peke yetu tuliokuwa na family song.

Ours was an English song ambao mama na baba wanaupenda sana...

[FONT=Verdana,Tahoma,Arial,Helvetica,sans-serif][SIZE=-1]"I know who holds the future,
And I know who holds my hand,
With God things don't just happen,
Everything by Him is planned;
So as I face tomorrow
With its problems large and small,
I'll trust the God of miracles-
Give to Him my all."
[/SIZE][/FONT]
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi tulikuwa tunaimba nyimbo ya kilugha au tulikuwa tunachagua wimbo katika mwimbieni Bwana/Tumwabudu Mungu wetu tunaimba kwa lugha yetu

Last edited by a moderator:

hakuna afahamuye kesho!! ni majonzi huzuni na vilio tu ndo hutawala katika vifo but malaika mbinguni hushangilia kwa mipango ya baba yetu aliye mbinguni kutimia!! hakuna atakayeishi milele cha muhimu ni kuanza kujitoa katika maovu mapema na amini ipo siku utakutana tena na mama yako pahala pema pepon!!
POLE SANA NA MUNGU AKUJAALIE
 
Mara nyingi tulikuwa tunaimba nyimbo ya kilugha au tulikuwa tunachagua wimbo katika mwimbieni Bwana/Tumwabudu Mungu wetu tunaimba kwa lugha yetu

Kilugha chenu ni kipi!??:confused3:

Sisi tuliimba kilugha sikuku za Christmas na Mwaka mpya jamani...ule wimbo wa Mwimbieni Bwana namba 1 naujua wote...kwa kichagga!!!
 
Kinyiramba aise, bonafsi napenda wachaga wakiimba ule wimbo Maskini Barthmayo kwa kichaga lol! Jana makabila hayakuimba muda ulikuwa mdogo coz kulikuwa pia na ibada ya kumuingiza kazini askofu msaidizi

Wanyiramba na Wanyaturu ni ndugu?? #jusAsking

Maskini Barthimayo?? upi huo? kuna ambao ni mrefu hivi..nimesahau ni namba ngapi!

Aisee ebu nieeke lyrics za wimbo wowote wa Kinyiramba tafadhali..walau fungu moja tu..:whoo:
 
Tunatoka mkoa mmoja tu, so ni ndugu coz kwetu kumoja

Nitakuandikia mentor, ngoja nimalize kazi za mkoloni hapa, namba ya wimbo wa maskini bartmayo nayo nitakuambia, I wish ungekuwa hapa jirani nikakuimbia ungeukumbuka tu

But i kan be...!!! how wish i heard you sing it...in Kinyiramba of course!!!
 
pole sana
 
huwaga nawaza siku ntayoishi bila mama maana najijua am troublemaker no one can tolerate midudu yangu aiseee ni machepele nafanya madudu mwisho wa siku nakimbilia kwake hata akinibarasa huwa i feel like nimerelease something aiseee pole mleta mada imenitouch aisee
pole sana kwa kumpoteza mama yako
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…