nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,689
Mara ya mwisho
kukuona, ulikua ukipanga vitu vyako vya kwenda navyo hospitali. Request
yako ya mwisho kwangu, ni kuniomba nikakutengenezee matango. Uliyala
matunda hayo kwa furaha na tabasamu. Kumbe lilikua tabasamu lako la
mwisho mimi kuliona. Alafu ukaondoka bila kutuaga, nilielewa kuwa
hukutaka kututia hofu, kwani ulidhani utarudi. Haikuwa ivyo. Ulienda
moja kwa moja. Hukurudi tena.
Miaka 9 sasa imepita bila uwepo wako. Ni ngumu kuishi bila wewe lakini
naamini siku zote uko pembeni yangu ukinisupport kwa yote niyafanyayo.
Nimemic sana kuita mama, bt l cnt act calling mama while l wanna col you
n not any other mamas.
l love u so much n l will always do.
Mic u mama.
am speechless maana maisha nayopitia sasa hivi...mungu tu ndie ajuae!
Name less, whn my bro passed on 20 years ago, i thought i would never survive. When mom passed on 8 years ago i was all cursing and wanted to throw things around. But i wanted all of them to be proud of me.
uour ma taught you how to be a woman. Make her proud, make her smile. You were not born weak, but stronger beyond measure.
am speechless maana maisha nayopitia sasa hivi...mungu tu ndie ajuae!
Mara ya mwisho kukuona, ulikua ukipanga vitu vyako vya kwenda navyo hospitali. Request yako ya mwisho kwangu, ni kuniomba nikakutengenezee matango. Uliyala matunda hayo kwa furaha na tabasamu. Kumbe lilikua tabasamu lako la mwisho mimi kuliona. Alafu ukaondoka bila kutuaga, nilielewa kuwa hukutaka kututia hofu, kwani ulidhani utarudi. Haikuwa ivyo. Ulienda moja kwa moja. Hukurudi tena.
Miaka 9 sasa imepita bila uwepo wako. Ni ngumu kuishi bila wewe lakini naamini siku zote uko pembeni yangu ukinisupport kwa yote niyafanyayo. Nimemic sana kuita mama, bt l cnt act calling mama while l wanna col you n not any other mamas.
l love u so much n l will always do.
Mic u mama.