I miss you mahabuba

Nakumbuka ilikuwa kipindi naenda kuanza high school Usagara wakati jk ndo anamalizia madaraka.

JK kamaliza 2015 madaraka, kwa hiyo;

2015 - 2016: Form V
2016 - 2017: Form VI
2017 - 2018: First year.

Sijui course unayoisoma, ila second year ni kati ya miaka inahitaji concentration ya hali ya juu.

Maisha ya mapenzi yana mwanzo, huo kwako ndo mwanzo, zitakuja story zingine ngumu zaidi ya hizo mpaka hiyo utaiona cha mtoto.
 
Hahaha usiombe yakukute nilidhani maghorofa
 
Course nnayosoma nimeweza kuimudu vizuri na nishawahi kuwa na msichana tumeachana mwezi wa 5 lakini hajaniathiri chochote kwa kuwa nilitaka kumtumia kusahau ya nyuma.
Now napambana na hali yangu
 
Course nnayosoma nimeweza kuimudu vizuri na nishawahi kuwa na msichana tumeachana mwezi wa 5 lakini hajaniathiri chochote kwa kuwa nilitaka kumtumia kusahau ya nyuma.
Now napambana na hali yangu

Vizuri kwako, mapenzi ya utoto ni kazi kusahaulika kwa sababu yana ukweli sana, ingawa ni mara chache kuwa na uhalisia.

Ninakuelewa
 
Hii story imejirudia ishawahi kupostiwa umebadili kidogo tu...
 
Haya mambo yanasumbua sana ukiwa chipukizi lakini malegend hayatupi shida.
 
Mzee kijana naona bado mwingi wa habar hupitwi na mambo hahaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…