Wivu....
Yeleeeeeeeeeeeeuwiiiiiiiii jana nilikuwa wapi mimi, napitwa na mambo matamu namna hii wallah Asprin where have you been? mamaafacebook I think your happy now due to your thread, I think Mr. is with you now hahahahahah
Njoo kwangu....sina wivu.
labda ulikuwa kwenye kampeni ya mabusha kama mimi, lakini nilipata mwaliko huu nikatia timu. nawe wataka shairi lenye vina?
Hahahahahah hivi wewe dawa ushakunywa kweli?
Asee mie labda nyeusi ngumu ati
dawa nimekwepa maana kwetu mabusha ni 'asset' ujue.....
Asprin ni mchepuko wangu wa kudumu..hata ufanyeje
Namm shehe....Kitoweo bila ya kukiangaikia kachape ngozi Asprin tumia frusa sisi twaja!
Mpotezee bhana...Ati nini???
Hahahahaahah!!Frusa hazipatikani hovyo hii nikama kukuta mpapai jangwani!
Na bado sijamaliza kitabu, vumilia maisha yangu utakula vya kwangu.Hahahah shemeji Asprin yuko vizuri naona ujumbe unaenda na vina lol,lazima utabasamu all the time
Mi luvs you too Mrs ake ODMAhhhha achaaa na ndo mana nampenda anajua kujipangilia sana
Ushairi ndo mbinu mpya kama M4Clabda ulikuwa kwenye kampeni ya mabusha kama mimi, lakini nilipata mwaliko huu nikatia timu. nawe wataka shairi lenye vina?
Ish!!Kama huna wivu no....
Ewaaaaaaaaaaaaaa!!basi baki kwa ndugu yangu Asprin..mimi napita hivi........:wave:
Ili mradi usiende wingerezani.... naskia madaktare wanaingiza naniliu kwenye naniliu ya kutolea naniliu.dawa nimekwepa maana kwetu mabusha ni 'asset' ujue.....
Amen!!Wewe abaki na nani??? Wake ni Ntuzu
Usiseme kwa sauti sasa!!Asprin ni mchepuko wangu wa kudumu..hata ufanyeje
Bingoooooooooo!!!!!!!!Ahhha unachekesha kubaki mchepuko the boy is mine ahha pole we unatia huruma pwani wataka wewe bara wataka wewe ukamchukua na matarumbeta siku hangaika kwa sababu najua kuku wangu mwenyewe manati.ya nin we hangaika nae ila tambua asubuh utakua nae jion ntalala nae.......
Namm shehe....
Mpotezee bhana...
Hahahahaahah!!
Na bado sijamaliza kitabu, vumilia maisha yangu utakula vya kwangu.
Mi luvs you too Mrs ake ODM
Ushairi ndo mbinu mpya kama M4C
Ish!!
Ewaaaaaaaaaaaaaa!!
Ili mradi usiende wingerezani.... naskia madaktare wanaingiza naniliu kwenye naniliu ya kutolea naniliu.
Amen!!
Usiseme kwa sauti sasa!!
Bingoooooooooo!!!!!!!!
Ahhha wewe ndo sabab natabasam sasa love yuh
mamaafacebook mbona hujibu hii postThx mamaafacebook nami pia nakupenda sn mpnz wangu....!
mamaafacebook mbona hujibu hii post