I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do is think of you.... I miss you so much it hurts..you have been running through my head all night... you have been on my mind I cant wait to see you again....I think of you night and day....I think about you all the time.....
I MISS YOU SO MUCH
CC. Mafikizolo Asprin my no one
Asante Honey Faith hasira zangu zote zitaisha kwa man u
hahahha naona unazidisha juhudi upate mgao wa penshen kwa babu, kwa hii njia umemuweza!!!! Ila usisahau michepuko yako ya zamani, you are stil loved lol!!!
Hahahaha maskini weeee huwa mna matumaini sana ndio kitu nachowapendea arsenal fans
Jana umeangalia mpira? Kosa dogo tu lakawaida ila sio kama tulicheza chini ya kiwango, arsenal iko vizuri aisee.... Na zaidi sisi tunaangalia ligi ya mabigwa....
Ndio kawaida yenu utafiti huwa hamkosi visingizio.Mtamuua babu wa watu.Nilipenda sana shangilia ya yule kaka aliyefunga goli