Thanks. You have such lovely name. DarlinEnded kusubiri mkuu
Usiache kutafuta pesa lakini
Pesa ili iweje darling?Ended kusubiri mkuu
Usiache kutafuta pesa lakini
Shindwa kwa jina la yesuIlo ni pepo kemea😂😂
Uzi kwa hisani ya nyege
nyege noma sanaUzi kwa hisani ya nyege
Hapana aiseh😂😂😂Kabla ya kurudi kwenye mapenzi, jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomilewe na afungwe kipindi cha pili, muuwe simba goli 4 hapo kwa mkapa)
Ukiweza hapa, ingia kwenye mapenzi mzima mzima..
Kila la kheri...
Na kweli. Ila kuingiza miguu yote miwili hapan aisehHayanaga formula..we lianzishe tu
Kabla ya kurudi kwenye mapenzi, jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomilewe na afungwe kipindi cha pili, muuwe simba goli 4 hapo kwa mkapa)
Ukiweza hapa, ingia kwenye mapenzi mzima mzima..
Kila la kheri...
Thank you AlgedoThanks. You have such lovely name. Darlin