Miss u tu mkurya...mbona hurudi sasaaa!
naona umenimiss kinyama! ngoja nikuchum kwanza upunguze machungu! lol...
au sio totooo!!? narudi soon.. usijali sana!
hahahaaa! mkuu umezingua hapo! mkeo kapigwa kibendi na tema bazazi!i have a lot of wives mkuu,if she is not around then someone else is around,teh teh teh..
Umejuaje nina ukame wa kiss aise...poa nakuwait mkurya
mmmm--mm--waaaah vale! hiyo ni ya kifua hapooo!
bado inspection na maeneo mengine ya nchi! lol..
Hahaha sitaki kombolela nataka kibaba na kimama.
Duuh ujue umesababisha shot lol
woooooow! nikupe tena ya usoni mama?
mmmm--mm--waaaah vale! hiyo ni ya kifua hapooo!
bado inspection na maeneo mengine ya nchi! lol..
mi nikichepuka unakaribiaga kujinyonga
thio mimi jamani wife... si unaona kabisa kilichoendelea?
i was nowhere!
itabidi nikamwone daktari wa macho kesho
si unajua tena, utakua ushaanza kuugua mboni za macho wewe si bure! fasta sema nitume gharama za miwani!
sawa mpenzi...?
miss neddy i miss you so much kupita maelezo ukimwona Karucee mwambie namsalimia,id ipi tena nyngne alikuwa anaitumia teh teh..hahahhhaa huyo lady kashindwa ku handle id mbili lol
Mi nakusalimia mheshimiwa Mndengereko