I miss MMU and JF in general

Hahahahahaaaaa... Wananiita Baba Kasinde. kwani wewe umesikia jina lipi mkuu!!!!

Karibu sana kaka, nashukuru mambo yanaenda vyema sana, tunapambana na majukumu kaka nashukuru pia mambo mengine yanakwenda sawia. Vipi wewe?
Nipo kaka, mambo yanaendaje? Eti wamekupa jina wanakuita baba nani vile?
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky njoo uone hii samll house miss chagga inatulaghai apa eti utafiti ni Baba ake! Mi navyojua hili jina la baba linahusika tu kwenye matumizi ya hela, kwingine ni baby linahusika. Shtuka unaibiwa na jua lote hili?

Na kwa kuwa UKAWA kazi yetu huenda na vielelezo, nitathibitisha madai yangu pindi itakapobidi.
Sawa baba mzuri nakupenda zaidi baba
 
Last edited by a moderator:

mi mwenyewe nna wasiwasi na huo ubaba lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaa... Wananiita Baba Kasinde. kwani wewe umesikia jina lipi mkuu!!!!

Karibu sana kaka, nashukuru mambo yanaenda vyema sana, tunapambana na majukumu kaka nashukuru pia mambo mengine yanakwenda sawia. Vipi wewe?

Asante sana mkuu, nimefurahi kuwakuta wote wapo vizuri

Lile jina nimesahau embu Mr Rocky unakumbuka vizuri?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…