I miss MMU and JF in general

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
Habari zenu wana jamvi,baada ya ukimya wa ghafla na kupoteea jukwaani kutokana na makujukumu ya hapa na pale.

Hivi sasa nimerudi jamvini tena kwa nguvu mpya na kasi mpya in the mean time nimewamiss sana marafiki zangu wote kuanzia mabazazi wa kiume mwekundu Nicas Mtei Mashaxizo na wengineo na marafiki zangu wa #teamrafiki Mr Rocky miss chagga ladfurahia kiwatengu Ntuzu mwallu ICHANA utafiti Excell Tized CHARMng lady,wherever you are Mndengereko amewamiss sana na anawawish kila la kheri,bila ya kuwasahau Eshy m.s yero OLESAIDIMU ladyfurahia, Mentor Watu 8,pia nimememiss sana busara za Mtambuzi na wengine wote ambao sijabahatika kuuwataja much love kwenu.
 
Karib jamvini kiongozi. Ulipotea sana! Hope uko poa. Karib tena na tena na tena!
 

welcome back mkuu.. kwema huko utokako lakini?

where is your wife LadyNiece?
 
Last edited by a moderator:
welcome back mkuu.. kwema huko utokako lakini?

where is your wife LadyNiece?
i have a lot of wives mkuu,if she is not around then someone else is around,teh teh teh..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…