It is true vile vile ni mtu wa kwanza kutusaliti kwa aina yake, nakumbuka miaka ya 90 pale chuo kikuu tulisukuma sana gari lake hatukujua tumekuja realize kuwa alikuwa anatusanifu baadae sana.Ni mtu wa kwanza kutuambia kuwa nchi hii inatafunwa, lakini tulimkejeli na kumpuuza na kumuona mjinga. Sasa ukweli uko wazi.
it is true vile vile ni mtu wa kwanza kutusaliti kwa aina yake, nakumbuka miaka ya 90 pale chuo kikuu tulisukuma sana gari lake hatukujua tumekuja realize kuwa alikuwa anatusanifu baadae sana.
Mrema Watanzania tulimpenda sana hata ikafikia mahali akiingia kwenye gari Watanzania walikuwa hawataki gari iwashwe ili waisukume kumpeleka huko aendako, lakini akabadilika badala ya kuendelea kuwa mtetezi wa maslahi ya Watanzania na Tanzania akawa mtetezi mzuri wa mafisadi. Sasa hivi baadhi wakikutana naye hata kumpa mkono wanaweza kukataa, umaarufu mkubwa aliokuwa nao katika sehemu kubwa nchi hivi sasa umepotea.
Ni muda mrefu sijamsikia mwanasiasa huyu machachari,
Anahitajika sana hasa wakati huu wa kampeni Arumeru, sijui safari hii ataendeleza fadhila au alishamaliza kulipa deni. Maana CCM B wamejitoa ambao walikuwa supporter wakubwa wa chama chetu sasa tegemeo limebaki kwa TLP au NCCR manunuzi.
huku moshi tunamuita KIKULACHO au SHAMUKWALE. alikuwa akutumia sana izo nyimbo kwenye kampeni zake.