Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,434
- Thread starter
- #21
Till then, intelli fvckin world was here.
Labda itakua kuna kitu kikubwa kinakuja ngoja tusubiri usiuzime huo mshumaaAmna mwanangu, nime jikuta nime andika tu.
labda machale haya
Hakuna upendo mkubwa zaidi ya huu, just incase it happens.Nitakunywa kwa niaba yako bwashee , next life ni kutafunwa na siafu bwashee
Hakika bwasheeHakuna upendo mkubwa zaidi ya huu, just incase it happens.
I will be watching
Sitauzima bro, na ukibaki mazima usiulize we pigia mstari.Labda itakua kuna kitu kikubwa kinakuja ngoja tusubiri usiuzime huo mshumaa
Wangapi walitupenda wakaondoka hawaja rudi, we live once tuki ondoka haturudi.
Kupishana mawazo jambo la kawaida tu, usi catch feeling sana akati wote wapitaji tu.
Tabasamu waki kufurahisha, kichafue waki kukasirisha,huzunika ukiona mkeka ume chanika.
Intelli fvckin world.View attachment 3609038
Jimix bob utasomeka kwenye histryLeo nakiri mi dogo, ila niguse upasuke 😅
MbwaaJimix bob utasomeka kwenye histry
Kenge majiMbwaa
Niki kupiga uta kimbilia kwenye mashirika ya haki za binadamu, sasa dawa ni kuja kuoa dada yako 😅Kenge maji
Ni kwanini huwa unaandika kwa kutenganisha neno moja katika uandishi wako?Wangapi walitupenda wakaondoka hawaja rudi, we live once tuki ondoka haturudi.
Kupishana mawazo jambo la kawaida tu, usi catch feeling sana akati wote wapitaji tu.
Tabasamu waki kufurahisha, kichafue waki kukasirisha,huzunika ukiona mkeka ume chanika.
Intelli fvckin world.View attachment 3609038
si ndio utofauti wa mimi na weweNi kwanini huwa unaandika kwa kutenganisha neno moja katika uandishi wako?
JichanganyeNiki kupiga uta kimbilia kwenye mashirika ya haki za binadamu, sasa dawa ni kuja kuoa dada yako 😅