Mkuu Sam samahani Sana kwa maswali mengi hii kitu mi nataka kuifanya full time job, kwa hyo umesema ili uweze kuapply adsense blog inapaswa kuwa na muda gani?? Kwa upande WA website unaweza kuomba adsense hta km Ina muda mfupi? Hlf je blog na website unalipia hela kila mwezi au Ni free
Isiwe chn ya miez sita alaf iwe na post zote ni kingereza alaf iwe hakuna videos,animation,na picha kwa wing ziwe hbr za maelezo kwa sana pia privacy policy na about us page ziwepo kwenye blog yako
mkuu vp khs suala la kulipia blog au website kuna malipo yoyote ya mwezi?
Unadhani ni kwanini una apply kwenye site ya kiingereza endapo kiswahili kinakubalika? Moja wapo ya uvunjaji wa sheria za adsense ni huo. List ya lugha supported ni hii nimeitoa hapa chini.Mkuu Donn ni kweli una apply kwenye site ya kiingereza as primary baadae una hamishia kwenye site ya kiswahil,lugha huwa sio ttz ni mashart ndo 2nakoseah hapa jf nimewah kuona adsense mara mojah huwa naona pinpoint lakin huwa zinakuwa kama kwenye mfumo alteration saa zinatokea saa hzitoke
Cc Donn nakusalimu bos
Mkuu naomba kukuuliza swali je ushawahi kuwacheat google kwa kuclick kwa kutumia kompyuta tofaut
Malipo kwa blogger hakuna, labda ukihitaji kuweka domain hii ndio utayolipia kwa mwaka. Lakini kwa upande wa website malipo yapo kwenye hosting na domain pia.
Faida ya kutumia website badala ya blog kwa watumiaji wa adsense ina kuja kwenye reporting. Nadhani hii kwa watumiaji wa muda mrefu wanalifahamu.
Unadhani ni kwanini una apply kwenye site ya kiingereza endapo kiswahili kinakubalika? Moja wapo ya uvunjaji wa sheria za adsense ni huo. List ya lugha supported ni hii nimeitoa hapa chini.
https://support.google.com/adsense/answer/9727?hl=en
"Please also be aware that placing the AdSense code on pages with content primarily in an unsupported language is not permitted by the AdSense program policies."
Huwa sitembelei blog ya mpekuzi, lakini kila mtu na bahati yake. Pia inaweza kuwa ni ads za kutoka directly kwa Advertiser kama ilivyo kwa matangazo ya voda unayoona JF.Ni kwel kbs mkuu Donn ila huwa najishanga kuna watu huu ni mwaka wa 5 mpk wa 6 hawafungiwi wanaenjoy na pesa zao zinakuja vzr na tena wanakula huge amount mfano mpekuzi,nadhan miaka 2 mitatu nyuma utakuwa unakumbuka post zake zilivyo kuwa shda hakuna picha za porn zilizokuwa zikivuja ukaz kosa kwake ana adsence alikuwa nayo nimemsema huyu kwakuwa ni mfano
Huwa sitembelei blog ya mpekuzi, lakini kila mtu na bahati yake. Pia inaweza kuwa ni ads za kutoka directly kwa Advertiser kama ilivyo kwa matangazo ya voda unayoona JF.
Jf anatumia pin point mpekuz nae pinpoint mkuu
Pin point ukijiunga nao matangazo yao wanakulimit hakuna kuweka matangazo mengne ya kampun ila wao 2 labda na adsense kama unayo mkuu mashart yao ni magumu kdg hii ni kwa mujibu wa watu waliowah kuomb wakapewa option hyo wakaona hailipi wakaachana nao
Angalia nilipo zungushia duara View attachment 187675
Hilo ni tangazo la google, but I just found out kuwa ni service tofauti na adsense. ​DoubleClickNimepaona mkuu Donn mfano ukipeleka pointer ya PC kwenye tangazo halifunguk kama gazeti iv mana mostly matangazo yao yanatabia hyo mkuu
ngoja uje ufungiwe ukiwa na dola nyingi ndo utawaju adsense vzuri
Hilo ni tangazo la google, but I just found out kuwa ni service tofauti na adsense. DoubleClick
Hii kitu nilowahi kuelekezwa lakini sikuelewa hata kidogo na bado sijaelewa mie naona watu wana-click matangazo tuu lakini sielewi....
Vipi Sam, blog yako inaitwaje? Una visitors wangapi perday?