I made 30$ per day na google adsense

bet master

Senior Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
101
Reaction score
23
jaman vijana ajira hyo apo..mm siyo mchoyo,mm n mmliki wa blog moja hapa tz nilianza hii biashara miezi sita iliyopita sasa napoelekea ni pa zuri lich ya changamoto hapa na pale one day na mm nataka niwe kama jf thes guyz makes a lot of maneyy. Mwenye swali lolotee nawakaribisha
 

Okey umesomeka kaka leta uzi kamili iki wadau tuanze kutiririka inakuwaje hapo
 
Kwanza Hongera, hakuna kitu bora kama kuingiza pesa ndani ya nchi hata ikiwa.

Ulikuwa na adsense tangu umeanza? Je ndani ya miezi site umefungiwa mara ngapi? Kwa mtazamo wangu naona adsense kwa Tanzania bado ni kama kamali, kwa kuwa Sheria za adsense hazijaruhusu blog za kiswahili kutumia adsense; so kufungiwa ni kitu cha kawaida kwao.

Natamani kungekuwa na njia ya kushawishi Google kuruhusu Lugha hii kwani ni wengi naona wanategemea adsense japo huwa wanakuwa roho juu muda mwingi.
 

wakati naanza sikuwa na adsense(nilikuwa naweka habar na kuzshea ili niitambulishe blog yangu) lakin baada ya mwezi nilipata blog ambayo ina miezi sita kutoka kwa rafik yang ndipo nilipo apply google adsense.....pili kuhusu kufungiwa nlisha fungiwa mara moja lakin kwa sababu mm mtafutaji nliweka tangazo humu jf kuwa natafuta blog ambayo ina umri wa miez sita nkanunua...tatu blog,website nying za kiswahil zina adsense ikiwemo jf,tunachofanya unakuwa na blog ambayo ina cotent za kingereza tu ndipo una aply ukishapata matangazo ads unayamishia kweny blog ya kuswahil(blog ya kazi) ya kingerza una ipiga chini
 

Thats the point, unaomba kwenye site ya kiingereza ili wakukubalie. Ila pindi wanapostuka kuwa unapublish kwenye site yenye lugha unsuported huwa wanafunga. I see people every day buying domains for adsense purposes.
Lugha zinazoruhusiwa zipo listed hapa https://support.google.com/adsense/answer/9727?hl=en

"Please also be aware that placing the AdSense code on pages with content primarily in an unsupported language is not permitted by the AdSense program policies."

So far naona JF wanatumia Pinpoint, + Google ads pekee nilizowahi ona JF na kwenye site kama ya djchoka ni ads za voda pekee. They are big Advertisers, so JF naamini hawatumii adsense ya muundo huu wa kawaida interms of ads shown
 
Je ili upewe code za google adsence inabidi domain ya blog yako iwe ya kununua? Je free domain hawakubali?
 
Je ili upewe code za google adsence inabidi domain ya blog yako iwe ya kununua? Je free domain hawakubali?

Sina hakika sana, lakini mostly naona watu hununua domains ili kuunga adsense. Sidhani kama wange hangaika hivi endapo naked blog ingekuwa inakubalika.
 

kushtukia ni labda baada ya miaka hamsini uko,kuna jamaa angu mmoja hui n mwaka wa tano sasa anakula matunda ya google na ndio aliye niispire
 

weng tz hufungiwa kwa kuweka picha za ngono znazonesha sehem za sir
 
Mkuu naomba kukuuliza swali je ushawahi kuwacheat google kwa kuclick kwa kutumia kompyuta tofaut
 
Je ili upewe code za google adsence inabidi domain ya blog yako iwe ya kununua? Je free domain hawakubali?

Mkuu ukiwa na website inakuwa rahis kdg huwa hawachambui mavitu meng kama ilivyo kwenye blog,ukiapply na website una asilimia 70 ya kupata adsense tofaut na blog mpk uwe na post nyng za kingereza,pia usiwe na video au music pia post zako ziwe za maandish kuliko picha
 

Mkuu Donn ni kweli una apply kwenye site ya kiingereza as primary baadae una hamishia kwenye site ya kiswahil,lugha huwa sio ttz ni mashart ndo 2nakoseah hapa jf nimewah kuona adsense mara mojah huwa naona pinpoint lakin huwa zinakuwa kama kwenye mfumo alteration saa zinatokea saa hzitoke

Cc Donn nakusalimu bos
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba kukuuliza swali je ushawahi kuwacheat google kwa kuclick kwa kutumia kompyuta tofaut

Za mwiz huwa ni 40 watakushka na kwanin ufanye hvy,!kikubwa maintain visitor pesa itakuja tu hakuna mafanikio kwa njia ya mkato
 
ngoja uje ufungiwe ukiwa na dola nyingi ndo utawaju adsense vzuri
 
jinsi ya kulipwa naombeni kujuzwa

Mkuu ziko njia tatu
1.western uniön

2.wire transfer yan unatumiwa pesa yako kwe akaunt ya benk

3.check lakin hi complicated kdg utasumbuliwa sana hasa na mabenk ya tz pia weng hawatumia,2 za juu ndio best
 
Mkuu Sam samahani Sana kwa maswali mengi hii kitu mi nataka kuifanya full time job, kwa hyo umesema ili uweze kuapply adsense blog inapaswa kuwa na muda gani?? Kwa upande WA website unaweza kuomba adsense hta km Ina muda mfupi? Hlf je blog na website unalipia hela kila mwezi au Ni free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…