Wanaume wengi hasa wa kiafrika neno "I love You' kwa mke ni vocabulary!!!!! i.e msamiati!!! ut ukweli Wanaobisha wabishe but ukweli ndiyo huo. Na mke akipata wa pembeni anayejua kutumia misamiati mizuri basi unamkosa!! Anakuwa kwako Physically tu but kimind kwa jamaa!! Wanawake wengi wako stimulated with what they hear and some little extras!!! Hapo umemmaliza!!!! Jaribu na itaponyesha ndoa/mahusioano uliyo naya ambayo pengine yako ICU kabla hayajakanyaga Mortuary!!