Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 20,045
Jamani huwa unakutana na wasichana wa aina ganiA
Hadi nakosa category yao labda niwaite 'wajasiriapenzi' [emoji3]
Nio maana huwa neno langu ni moja tu lililo nyooka, 'na hamu na wewe' nimefunga mjadala akubali au akatae poa tu narudi nyumbani.