Unaweza kuwa unafanya usafi au kulinda. Kuingia bank kama nyumbani haimaanishi Pochi kuwa Nene.Bank naingia kama nyumbani
Au mpishi mleta chakula na vitafunwaUnaweza kuwa unafanya usafi au kulinda. Kuingia bank kama nyumbani haimaanishi Pochi kuwa Nene.
πππππTunamuongezea thamani sokoni π€£π€£π€£
ππππ kwaniniMods futeni ubao pale juu pasomeke Kapeace I love you mtu wangu wa faida hata ukikimbia nikufuata huko huko
Mboni mnamshambulia wengi wengi
thanks πI love you Palina πππ
Bad enough ana copy google na kuja kunpaste hapa. πππYani ukitaka tukosane ujichanganye uniandikie mada ya I love you
Kumbe umejisikia vizuri kuanzishiwa uzi? Mpaka kawivu kamekushika? ππππππππ kwanini
Maigizo tu hamna kitu hapoπ π π π
Sema kweliiiii
π π π π π we ungejisikia vibayaKumbe umejisikia vizuri kuanzishiwa uzi? Mpaka kawivu kamekushika? ππππ
Mkubali bro angu Generation Z kakuelewaπthanks π
π π πWenzako wanaandamana kule wewe uko huku unalia na mapenzi