Na wewe ishia hapo hapo, ambae haeshimu ndoa yake ni nani? Na wewe marejesho akufunge kamba manake umezidi.
Kwa taarifa yako hutaniona nikitangatanga tena manake tumeshayaongea na hazibendi tumeyamaliza na sasa nimeamua kutulizana kwa moyo mweupe. Hilo file mwambie Baba V awashie mkaa nyumbani kwake!
Kwa taarifa yako hutaniona nikitangatanga tena manake tumeshayaongea na hazibendi tumeyamaliza na sasa nimeamua kutulizana kwa moyo mweupe. Hilo file mwambie Baba V awashie mkaa nyumbani kwake!
Ndio tumeyamaliza jioni hii hivyo hutamsikia akilalamika tena! Kwani wife wako nae alivolalamika kwa hazibendi kuwa mie nilitaka kuvunja ndoa yake maombi yakamwokoa aliambiwa nitonye ni mwanakamati?? Nae akome!nadhani hamjamaliza vizuri! Humwoni nitonye analalamika kwa wife wangu! Mwambia wife sio mwanakamati na akomeeee!!!!