LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
MzunguMndali
marejesho
Filipo
Wote nimewasalimu kwa jina la Bwana!
Amani na iwe kwenu!
Hahaha huyu jamaa sijui kafanyaje tena, ana gundu bayaaaa
haya ndio matatizo ya wanaochungulia vya watu!
Kha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa!!
MzunguMndali
marejesho
Filipo
Wote nimewasalimu kwa jina la Bwana!
Amani na iwe kwenu!
kwani alichungulia fitu fya nani tena?
Khaaa! Si umdanganye mgonjwa jamani, utanifanya niumwe tena ujue!sikulavu ng'o!
Khaaa! Si umdanganye mgonjwa jamani, utanifanya niumwe tena ujue!
Plz sema neno moja tu na roho yangu itatulia.Oooho! Pole mgonjwa! Nitamwambia wife aje na matunda! Pole eeh!
Plz sema neno moja tu na roho yangu itatulia.
sikupendi! Lol...
Heeeeee! Unanipandisha sukari bana! Nidanganye basi khaaa!