I Love you,MAREJESHO.

Kudadadadeki.....nikadhani ni wewe....Nisikimbie haraka kwenda kumuita Baba V......Ningeabikaje.....
 
Last edited by a moderator:
Kudadadadeki.....nikadhani ni wewe....Nisikimbie haraka kwenda kumuita Baba V......Ningeabikaje.....

Ha ha ha!! tedo bana!!! Ndio maana umedelete post hapo juu? Kwa kweli ungesutwa na ile ngoma ya JF
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha!! tedo bana!!! Ndio maana umedelete post hapo juu? Kwa kweli ungesutwa na ile ngoma ya JF
Khaa mbona kamati ya Mkodobwe ingekuwa halali yangu leo...Ni Mungu tu kaepusha mbali..
 
Last edited by a moderator:

Mkuu, hayo maneno nadhani mara ya mwisho kuyatumia nilikuwa std six! Na sio kwa my wife wangu mpenzi marejesho! She is not that easy Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu huu ni uongo, Filipo hakunidanganya kama watoto wa shule!!!Angentokea ki hivi ningemkataa!!!eti mapigo ya moyo,mara hali chakula!!!wizi mtupu!!!

Bora umwambie! Kwa mashairi ya kitoto namna hii wala usingenikubali!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha!!
Haya bhana Filipo.
Lakini mkuu,unamjua mganga maarufu hapa mjini anaye weza kugeuza mtu kuwa chura,kuna mtu amenikera ujue?

hah hah hah hah! Ndio ukakumbuka ulivyomtokea my wife wako!? Au umepigwa kibuti!
 
Last edited by a moderator:
hah hah hah hah! Ndio ukakumbuka ulivyomtokea my wife wako!? Au umepigwa kibuti!

Hahahaa...ngoja niwahi kwa mzee Kingukuramfuti fasta akanitengenezee dawa,lazima mtu ageuke chura leo!!
 
Hahahaa...ngoja niwahi kwa mzee Kingukuramfuti fasta akanitengenezee dawa,lazima mtu ageuke chura leo!!

Nani huyo?
Imeandikwa tunaweza kuamuru mlima ung'oke na ukatii,kwa nini usiamuru tu huyu mtu ageuke chura pasipo kutafuta nguvu za ziada?
 
jamaa sijui kakifumania wapi kile kikaratasi Filipo alikitumia kuandika mistari ya kuchana mbele ya marejesho
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…