I love u mama

I love u mama

Hakuna lakini my mum was something else thou i value her mostly,
 
ImageUploadedByJamiiForums1425714509.690172.jpg
 
Miaka kumi ijayo mama hatakuwa na thamani hii.sababu-

wanaenda hospitali-hawazai kwa uchungu
Wana matiti -hawanyonyeshi
Wanazaa -hawalei
Wanamigongo-hawabebi watoto
Wana watoto-wamekabidhi matron/
Patron na beki tatu wawa
Lelee.
Wamama wa digitali.com hao.

Nawatakia wamama wote wa analogi furaha njema siku yao hii muhimu.
 
Miaka kumi ijayo mama hatakuwa na thamani hii.sababu-

wanaenda hospitali-hawazai kwa uchungu
Wana matiti -hawanyonyeshi
Wanazaa -hawalei
Wanamigongo-hawabebi watoto
Wana watoto-wamekabidhi matron/
Patron na beki tatu wawa
Lelee.
Wamama wa digitali.com hao.

Nawatakia wamama wote wa analogi furaha njema siku yao hii muhimu.

bado mama atabaki kuwa mama.
 
Miaka kumi ijayo mama hatakuwa na thamani hii.sababu-

wanaenda hospitali-hawazai kwa uchungu
Wana matiti -hawanyonyeshi
Wanazaa -hawalei
Wanamigongo-hawabebi watoto
Wana watoto-wamekabidhi matron/
Patron na beki tatu wawa
Lelee.
Wamama wa digitali.com hao.

Nawatakia wamama wote wa analogi furaha njema
siku yao hii muhimu.

hivi ni vipi Mtu aweza kuzaa pasi uchungu?
wanaume wanashindwa kutimiza mahitaji ya familia kwa nini mwanamke asitafute wa kumsaidia apate nafasi ya kuongeza kipato?
 
Mama I love you so much, Mungu akujalie maisha marefu.
 
Kwa walio na mama huu ndo wakati pia wa kukuonesha kua unampenda na si kuandika tu, ilove u mama, no one like mom, and so on, but show her that u really love her.
 
Nampenda kila mwanamke alie bahatika kuzaa na kupenda watoto wake. Ndie leo asherekee siku ya wanawake. Ila hata wale wanawake walezi bora kwa watoto waliopoteza au kutelekezwa na wazazi wao. Big up wote wanawake waina hii, especially my mama na mke wangu!
 
Back
Top Bottom