Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,250
- 44,578
Technician,si kweli kuwa TPDF,ndo huwa wanaenda operation za kijeshi pekee,Operation zote za kijeshi zinabeba wanajeshi wa majeshi yote(wale wote unaowaona wakicheza gwaride la uhuru,ikiwemo magereza,polisi na TPDF),Tofauti ni kwamba wote wanavaa uniform za aina moja,na hiyo iko ndani ya taratibu za kijeshi,na sio kwamba TPDF,wameshindwa kazi au wako wachache.Mfano ile operation ya Comoro ilibeba FFU wengi tu.Is this true!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
I dont believe if the Tanzania peoples defence force (TPDF) has failed to do their responsiblities and handover the assignment to Tanzania Police Force (FFU)
NOW:I am worried wether this was derived and agreed with the national interests.
- Who is going to take care of our National presdential and members of parliament elections which will takeoff on october early this year.
- Who is going to take care of the Mosques at mwembechai and..........
Mi navyoelewa hiyo ilikuwa ni party ya kiaskari zaidi,maana wakitoka hapo wanaenda kuungana na JWTZ,na hawatavaa green jungle hizo za FFU,ila watavaa za JWTZ,hapo ndo huwa wanaagwa rasmi na amiri jeshi mkuu.I luv women in green jungle as my wife is...
Unachokiongea ni kweli mkuu,lakini angalia hata askari waliopo hapo,mwanaume mwenye cheo kikubwa hapo ni assistance commissioner wa polisi.Vyeo vya polisi huanzia,IGP wanafuatia CP alafu DCP then SACP ndo anakuja huyu ACP ambaye yupo hapo.Unaweza kuona hiyo sherehe haikuwa na uzito mkubwa sana wa kitaifa,na sitawaelewa iwapo haitafanyika nyingine rasmi.Siwezi kumlaumu waziri sababu anapokuwa waziri kwenye issue za kijeshi,basi atakuwepo IGP au mmoja wa ma CP.sasa hata Waziri au Naibu wake wasiwepo?
Unachokiongea ni kweli mkuu,lakini angalia hata askari waliopo hapo,mwanaume mwenye cheo kikubwa hapo ni assistance commissioner wa polisi.Vyeo vya polisi huanzia,IGP wanafuatia CP alafu DCP then SACP ndo anakuja huyu ACP ambaye yupo hapo.Unaweza kuona hiyo sherehe haikuwa na uzito mkubwa sana wa kitaifa,na sitawaelewa iwapo haitafanyika nyingine rasmi.Siwezi kumlaumu waziri sababu anapokuwa waziri kwenye issue za kijeshi,basi atakuwepo IGP au mmoja wa ma CP.
Yah,nilikuwa nasema mwanaume mwenye cheo cha juu,pia tunaweza sema ilikuwa ya wanawake zaidi kuwaaga wenzaonadhani mama Zuhura ni SACP..
Yah,nilikuwa nasema mwanaume mwenye cheo cha juu,pia tunaweza sema ilikuwa ya wanawake zaidi kuwaaga wenzao
si unajua tena mapc wanabaniwa.naona wengi ni maofisa tu.. kuanzia warakibu wasaidizi (naona ndio wengi hapo) na kwenda juu.
Kila la heri dada zetu.
My Take
Sasa..kipaumbele ni kipi.. kupokea mipira, baskeli na viatu au kuwaaga mabinti na dada zetu wanaoenda mbali wakiitikia wito wa taifa lao? Yaani hata Waziri hayupo wa kuwapa bendera..? I'm sorry.. I couldn't resist..