I love my wife

Hahahaaa... life is what you make it, yaani hadi wametoa nje their most expensive bed ili wapigie picha..

Iyo bed ipo apo ya mapumziko tu. Wengine hutumia kama chanja, ukiosha vyombo unaanika apo vikauje.
Mama yupo na pirika zake za jikoni, anamwacha mtt apo alale, apumzike.
 
Iyo bed ipo apo ya mapumziko tu. Wengine hutumia kama chanja, ukiosha vyombo unaanika apo vikauje.
Mama yupo na pirika zake za jikoni, anamwacha mtt apo alale, apumzike.
kijanja ni tofauti na hiyo banaaa..kule kwetu vudee upare kwa bibi nimelalia sana
 
Mtoto mkubwa nyuma ya wazazi mbona kama anamzomea mwenzio?
 
Mpwa Elli mie siwawezi hao.. Nguvu zangu zinazidi kumong'onyoka shida sitaki mie.. saudari ndo anaziwezea hizi maana nimemuona mahali anapiga tizi la kufa mtu..

Ndugu yangu unadhani kila jumba kubwa linavitu ndani? Mengine hukaa kama bosheni.
 

Umeona eeh...manake hata sijaelewa hapo juu ya 'teremka tukaze' na jua lote hilo anafanya nini. Mwanamke wa kijijini ana muda wa kujianika juani ili hali mikazi kibao inamsubiri?....Huku ndiko zinakostahili 'tuzo' na sio hizi za kuitana kwenye majukwaa.....Heeh hili povu, nimetumwa?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…