I love her madly. Why she acting this way?

Tuanzie hapa kwanza

Ushamla??

If bado, huyo mtoto analiwa na wengine, so relax tafuta ur size.
 
Wanawake ni kama kivuli ukimfata anakimbia,, ukimuacha anakufata! Anyway me sinaga tabia za kupenda ila naumiaga hadi kupata stresa pale dem anakuja geto af nisimle! Juzi kati kuna dem kaja geto af nikaacha kumla ase najilaumu mpaka kesho!!
 
MLETA uzi kanikumbusha mbali , kaandika kama mwandishi fulani anaitwa Edgar Allan Poe hadithi fupi kwenye kitabu chake cha The Tell-tale Heart cha mwaka 1843 ...
 
Kama keshawahi kuja geto, we mwanaume mzima umekalia tu tweee, tweee, tweeee, tweeee......mpumbavu mkubwa weeeee!!!!! Toto linataka mambo ya uhuruuu, utakalia tu wapige mbili haooooo, we umepigwa ngapi? Ebooooo!
 
Naona usha ingiza miguu yote ndani..kijana toa mguu mmoja njee kwanza usije pigwa na kitu kizito
 
Umenena kaka 🤣🤣🤣🤣
Ungeweka picha yake ndo nikajua ni nani nisije kukushauri ukakuta nakupa ushauri mzuri wa kumla my wangu! Mapenzi hayanaga macho ila na huo upofu wake ni vurugu tupu.
 
Kama keshawahi kuja geto, we mwanaume mzima umekalia tu tweee, tweee, tweeee, tweeee......mpumbavu mkubwa weeeee!!!!! Toto linataka mambo ya uhuruuu, utakalia tu wapige mbili haooooo, we umepigwa ngapi? Ebooooo!
Mbona povu mkuu...sjakuelewa ujue
 
Usitongoze
Mkaribishe nyumbani weekend kuangalia movie/watch football...
Usiwe na haraka...

Chagua movie zenye matukio flani...

Nunua vyakula kbs mtapika ama mtapasha...
Akiwa kashazoea mazingira kiss her...

Ulete mrejesho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…