I love every Friday.

Hahaha huyo mkenya YAHYA....
 
Mhhh I wounder why couples cant share passwords?Hamuaminiani?
Hizo siri za shogaako hahitaji kujua isitoshe shoga ni wako wewe yeye inamuhusu nini!!
Kama kuna mtu huelewani nae katika familia yake inapaswa ajue ili ikitokea mtafaruku ajue chanzo cha matatizo na upande gani anaweza kuegemea...
Kwenye hizo dhana kuna usiri mwingi sana na sikubaliani kwmaba ni kitu kizuri kwenye mahusiano...Au we unaonaje vivian?
 
niko ofisini mpendwa wangu na nikitoka hapa naenda kwenye shughuli binafsi si unajua
tena huuu ujasiriamali nikitoka huko narudi home kupumzika, ila kesho sasa ndo
nitatafuta mahali pa kujiachia waonaje twende maisha
ladyfurahia uko wapi saa hii mi naelekea Jakis masaki
 
Duuh!
Kumbe @figganiga ndiyo huyu!
Keshakula mihela yangu sana!
Mara motaveko, fayaekstingwisha, wepa , bima, afu mambo ndo haya?
 

Nilikua nakusoma tu nione janja yako. Nlijifanya nmezima ili nikutege tu. Hakatwi mtu hapa. Mia
 
Last edited by a moderator:
Wii huyu Vivi anantafuta huyu........
Kama vipi mfanyizie.
vivian naomba umtake radhi babe wangu figganigga.......
Tena afanye haraka.
Habari bureee....!
figganigga nae teena
cc Heaven on earth
Mkuu huyu vivian atakua anataka kunigombanisha na mke wangu. Wewe unaonaje?
he he he he Shosti kumbe sikukupa umbeya. Habari ndio hiyo nakwambia hapa huna mwanaume
akili za kuambiwa changanya na zakwako.
Chocs huyu Heaven on earth ni besti yangu wa ukweli sitaki apotee kwa kuingia kwenye commitment ambayo itamgharimu baadae
Mbona ulisema utatunza siri?
wii kumbe umepoza moyo wako kwa figganigga?!?!?!
Huyu kazima kinoma. Ukweli anayajua mambo tatizo lake hatunzi siri wakati anajua mimi mume wa Heaven on earth.
Lady doctor yaani huyu sio mwanaume wa kukubali kuolewa naye
Jitahidi kumkatisha tamaa Heaven on earth ili uchukue nafasi yake.
my dear Paloma nilikua namchuna tu. Si unaona Uniform. Mzee wa favour ha ha ha ha ha

Saa hii yupo kazini hawezi kuingia humu ngoja atoke uone fujo zake
Mimi sina fujo. Tulijifungia chumbani ndo maana sijaonekana.
niko ofisini mpendwa wangu na nikitoka hapa naenda kwenye shughuli binafsi si unajua
tena huuu ujasiriamali nikitoka huko narudi home kupumzika, ila kesho sasa ndo
nitatafuta mahali pa kujiachia waonaje twende maisha
Wapi umemuona mathematics? mwambie namtafuta.
Hizo twaziita kopi'n-pest. Vipi mdada?

Afu huyo ulomuita aitwa Madame B na si vinginevyo.
Mkuu umenitenga sana. Huyu dogo tulikua tunakula naye ndovu kitaa nashangaa habali zote anazileta huku. Niendelee naye au nimteme?
wii hebu twendzetu kwa mwenyekiti tumfungulie vivi mashtaka, haiwezekani atudhalilishie huyu mtu kiasi hiki

umeongea point sana. Mia
 
Last edited by a moderator:
Duuh!
Kumbe @figganiga ndiyo huyu!
Keshakula mihela yangu sana!
Mara motaveko, fayaekstingwisha, wepa , bima, afu mambo ndo haya?

Unachezea rungu la dola wewe kijana? nitakuaresiti. Mia
 
Aisee hii mambo tupa kuleee we endelea na mkeo.mia
 
Huyu afande si anaongoza magari pale kwenye mataa ya Selander!Hapa naona ni baada ya kazi pevu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…