i hope.......1day

i hope.....1day...... Ntapata mwanaume atakayenithamini na kunijali...atakayesikiliza shida zngu na kujaribu kunipa njia za kuzitatua....huyu bwana hajaniambia anitaki lakini naona kabisa and its killing me inside.... najuiliza kama ntakuja kupenda tena....na je hivi wapo kweli wanaume jamani ....kwamba ukimpigia cm akipokea hasemi 'unasemaje'....hivi wapo wanaume wanaoita mpenz,honey swit...nimekumiss...nakupenda uwiii wako wapi mbo mi siwaoni jamani...huyu sijui ndo nimuite wangu au x sielewi nsipopiga simu hapigi,haniambii ananipenda...ila anasema tu hana mpango wa kuoa...najaribu kumchunia siku2 anakuja kunsalimia2 nguvu zote zinaisha nkimuona...hajui kumbeleza...nzxxxxxxxmmxmxxxxxx.....hasira....hasira hasira....hasira...

kama sitopiga hapigi.....siku nzima........na kwake kama nispomwambia nakuja inaeza ikapita hata mwezi hajaniita.....na kujibu i love too sio every time namwambia i love unajua kuna situation nyingine jamani like in sex eeeh mtu amekufurahisha mpo kitandani hata ukisema jamani ilovee u....utasikia ok au haya then huyooo anageukka pembeni mi najua mapenzi ya kibongo lakini kuna zile situation ndo zilivyoumbwa na mungu lakini yeye hana hata hizo HATA UMFURAHISHE VIPI HASEMI ASANTE....hasemi chochote yani anankera kwa hilo....ukimwabia anasema mi siezi badilika...hivi kuna watu wa hivi duniani yani hajali niwepo nisiwepo kwake is okey..........
:target:
 
VK una muda gani upo na huyu mtu?
 
Back
Top Bottom