i hope.......1day

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
i hope.....1day...... Ntapata mwanaume atakayenithamini na kunijali...atakayesikiliza shida zngu na kujaribu kunipa njia za kuzitatua....huyu bwana hajaniambia anitaki lakini naona kabisa and its killing me inside.... najuiliza kama ntakuja kupenda tena....na je hivi wapo kweli wanaume jamani ....kwamba ukimpigia cm akipokea hasemi 'unasemaje'....hivi wapo wanaume wanaoita mpenz,honey swit...nimekumiss...nakupenda uwiii wako wapi mbo mi siwaoni jamani...huyu sijui ndo nimuite wangu au x sielewi nsipopiga simu hapigi,haniambii ananipenda...ila anasema tu hana mpango wa kuoa...najaribu kumchunia siku2 anakuja kunsalimia2 nguvu zote zinaisha nkimuona...hajui kumbeleza...nzxxxxxxxmmxmxxxxxx.....hasira....hasira hasira....hasira...
 
Ndo mapenzi hayo shosti, yana kila aina ya ups and downs. Search your heart very well and make a decision. Ndio wapo wanaume wanaojua kupenda, caring, loving and very thoughtful, ukijipa muda na kuchunguza kwa kutumia brain na siyo heart utampata. Lakini pia kila mtu ana aina yake ya kupenda, wengine hawapendi kuexpress feelings zao wakidhani huo ndo uanaume, lakini deep inside they care ila tu hawasemi wala kuonyesha. so inahitaji uchunguze na kuamua mwenyewe. all the best na pole kwa maumivu.
 
Pole Vkeissy kwa yanayokusibu ila tatizo haswa ni nini???
 
Pole vkeisy2006, usivunjike moyo, wanaume wapo wanaojua kubembeleza, wanaojua thamani ya penzi. Mie nilipokuwa binti niliogopa mahusiano kwa sababu ya kuogopa kuumizwa, ila thank God nilipata mtu ambaye kwa kweli anajua thamani ya mwanamke!
So wapo, keep on praying dear. Using'ang'anie penzi la mtu ambaye haelewi thamani ya pendo lako kwake, kwanza utaumia, pili utakuja kujuta baadaye na hutamlaumu kwa sababu ulimjua toka mwanzo, ni ngumu ila inawezekana kumwondoa moyoni mwako, ukarelax untill you get the right one!
 
Pole sana Vkeisy!!! But, you really have to be careful before you jump into any conclusion, sababu; kama alivyosema Carmel, inaweza akawa anakupenda sana tu; ila hawezi ku-express zile emotion zake...
Sio kwamba namtetea... Lakini fikiria mwenyewe; uwe na mtu ambaye anakupenda sana, lakini hawezi ku-express, au uwe na mtu ambaye ana maneno matamu na anaonesha kuwa anajali, kumbe ni msanii tu???
I suggest; ukae na uongee naye vizuri huyo jamaa...
 
Pole Vkeissy kwa yanayokusibu ila tatizo haswa ni nini???

yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia i lov u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....
 
Pole sana sweetheart jua mwenyezi mungu kakuandalia wako ..kama jamaa hana mpango wa kuoa na wewe una mpango wa kuolewa huyo si wako..Anza wewe kumwambia kabla yeye hajakwambia na mbaya zaidi muda ukiwa umeshaenda.najua utaumia lakini utazoea na kusahau.
Yupo aliyeandaliwa kwa ajiri yako usijilaumu , for the love of god utakuwa huru na hilo penzi la kifungo.
 
yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia i lov u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....

Shosti isiwe tabu mwaya kwa nini akupe majonzi kila siku??? Wako wanaume wenye mapenzi unayoyataka ila tu uwe mvumilivu mpaka umpate wa aina hiyo. Huyo hakufai ingawa bado unampenda. Anapaswa kujirekebisha la sivyo atakupoteza muda si mrefu. ushajaribu kuongea naye labda ukamweleza jinsi anavyokuudhi na matendo yake?? Maana saa zingine mawasiliano ni dawa pia.
 
My dear,pole sana.But take courage.Search within your heart,try to see your life together 5 or 10 years down in the line of marriage. Believe me, hizo simu huwa zinapungua kadri muda unavyokwenda. sasa kama nyie mnaanza na less than 1 call a day...., na inapokelewa kijeshi! Fikiria kabla hujaingia katika ndoa. There is someone out there crieving to love you like no-man's business!
Mean while hang out with friends.Try to make your happiness revolve around other things as well upunguze maumivu.
 
yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia i lov u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....

hicho kipande kimenivunja mbavu, cpati pic kabisa..".i luv u swity"".... unajibiwa" haya"...mapenzi yana mambo...pole mrembo, raha ya mapenzi upate akupendae, kama walivyosema wengine, unaweza kukuta jamaa anakupenda sema ndio wale wanatumia uanaume zaidi,naamini kila mtu ana wake wa dhati, vuta subira mrembo yupo wako mahali.....
 
.......i hope
 
I think this is one of the signs that he is not that into u...

na hapo unaweza kuta ana wa pembeni hizo i luv u na makororokoro yote anaambiwa , akija huku hata mahabuba hatamki, mapenzi yangeondolewaga duniani bwana.
 
na hapo unaweza kuta ana wa pembeni hizo i luv u na makororokoro yote anaambiwa , akija huku hata mahabuba hatamki, mapenzi yangeondolewaga duniani bwana.
HEHEHEHE!nimeipenda hiyo.............
tuwe tunafanya SEX FOR REPRODUCTION PURPOSE..............
yani kama kuku vile au ng'ombe.................
NO LOVE.......
NOT AT ALL

big-up my sisy
 
Mapenzi bwan ahata hayatabiriki huyu hasemi i love you too mwingine anaweza akawa kasuku kwa kuimba I love yoo but akawa si wa kweli yaani ah. Bora mie sasa nimejipumzikia- nasoma vya wenzangu tu!

Mpenzi take time kufikiri future yako kama unaona anafaa kuwa abiria ndani ya boat yako ya maisha then take him and ignore hizo ndogo ndogo za kutokuonyesha feelings- maana ni bora asionyeshe akamean kuliko akiziimba usiku na mchana kumbe kasuku kufurahisha umma na wala hamean.
 
Back
Top Bottom