Umri wake siyo mkubwa he is 42 . So mpaka 2025 atakua 54 bado anaweza akawa na nafasi hiyo ya kupigani vikumbo
Kuwa nje ya serikali kutamcost kimipango 2015 .sasa ajikite zaidi kwenye chama na amuunge mkono mgombea mwenye ushawishi mkubwa ili 2015 awe kwenye baraza jipya and who knows maybe 2025 anaweza akawa na nafasi tena
Dr Nchimbi ni mtu wa mipango sana, there few individuals like him ndani ya ccm .he is well connected na mtandao wowote utamtaka ajiunge nao ..
Dr Nchimbi anaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ndo wanaweza kumbeba. Apa ajipange na anagalia utoke vip.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Mkuu nakuunga mkono. Dr. Nchimbi ni mzee wa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Amepata ajali ya kisiasa lakini nadhani ataenda kujiponya majeraha na kurudi; for sure he will bounce back.

Operational definition ya " mipango" katika uzi wako ni nini? ??!!!Kwa kimipango Dr Nchimbi hata Mh. Nchemba hatii mguu... Tusubiri tu