I have Fall in Love With JF Man....

Mamakhe hi fursa ngj nije na id mpya ya dadii naeza opoa mtoto

Sent using Jamii Forums mobile app

Hhahahahaa huweza wapata maana itasoma ID mpya, wataowin hapa ni wale ambao wana ID za zamani, wawaombe mods wabadili jina kutoka ID za zamani na kusomeka Dadii. Huyu wa hivi atafanikiwa kuopoa totoz maana watu wana hamu na Dadii, si wanawake wala wanaume.
 
Who told you so,..... that you have it.... they lied to you...
Lots of complications may come up as a consequence of this issue can you come and see for yourself
 
I have fall, ungeandika kiswahili ungeonekana mjanja lakini kwa kiingereza hicho wewe mburura tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…