I Hate You

Mkuu hiyo ni Keyboard ya style gani, manake katika style zinazofahamika style hiyo haipo. Always A inatangulia H, E inatangulia T na Y,U,O zipo mstari wa juu ya home keys (ASDFGHJKL;).
 
Naona itakuwa ya kurushia vitu virukavyo tena vyenye ncha kali. lol!!!
 
Mkuu hiyo ni Keyboard ya style gani, manake katika style zinazofahamika style hiyo haipo. Always A inatangulia H, E inatangulia T na Y,U,O zipo mstari wa juu ya home keys (ASDFGHJKL;).

Huo ndo ule mtambo ulioagizwa na nyinyiemu mahsusi kwa ajili ya kutengeneza SMS za uchonganishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…