Do you trust him? Ameshapropose? Ushawahi kupenda hivyo hapo kabla?
He knows, the thing is tunakaa miji tofauti, and l want to be with him everyday. Si unaona jinsi ilivyo ngumu hata kama tungekuwa tunakaa pamoja. Kazi zetu wote ni za kutoka sana!
Naamini ananipenda, ila mwenzangu yuko kimature zaidi though we are agemate!
Nashukuru mwaya kwa kuniwishia well.
He knows, the thing is tunakaa miji tofauti, and l want to be with him everyday. Si unaona jinsi ilivyo ngumu hata kama tungekuwa tunakaa pamoja. Kazi zetu wote ni za kutoka sana!
Naamini ananipenda, ila mwenzangu yuko kimature zaidi though we are agemate!
umekosea kumweka mwanadamu kwa kiwango mtangulize akupaye pumzi ya kila siku ukimuwaza na kamtafakari njia zake then hao wegine waje later dear
my dia umekosea usimweke mwanadamu kuwa first itakugarimu mweke muumba wako na hatakuangusha kamwe Kaunga dear then waje wakuja later
yah ulichosema uko very correct!! ila according to wht she`ve said(am realy sure if ni msichana) na hali halisi ilivyo hasa katika hii dunia ya sasa mambo kama hayo yapo na yanatokea bila mtu kujua! nasema hivyo mana even ma self ishanitokea! sasa ni hal ambayo ishatokea ndo maana kaja hapa JF kuomba msaada..tumsaidie na sio kumlaum..coz am sure hakupenda!!He knows, the thing is tunakaa miji tofauti, and l want to be with him everyday. Si unaona jinsi ilivyo ngumu hata kama tungekuwa tunakaa pamoja. Kazi zetu wote ni za kutoka sana!
Naamini ananipenda, ila mwenzangu yuko kimature zaidi though we are agemate!
umekosea kumweka mwanadamu kwa kiwango mtangulize akupaye pumzi ya kila siku ukimuwaza na kamtafakari njia zake then hao wegine waje later dear
Nashukuru kwa ushauri. Hukunielewa lakini, nimesema ni MTU wa kwanza unajua Mungu si mtu. Ninaposali asubuhi na usiku kabla ya kulala, l thank God for his life, l pray to God to protect and bless him; kifupi kukutana naye huyo mpenzi wangu naona kama ni blessing from God hivyo sijaacha kumshukuru Mungu kwa kutukutanisha hata siku moja!
Najua changamoto za mahusiano kwani nimeshakutana nazo, ninachotaka nimpende sawa lkn niwe sobber. Hivyo dearest nisaidie kuomba ili niwe myself again!
I miss the strong kaunga l used to be!
Vipi with time hii inaweza pungua?
Hujapenda kihivyo? What do you mean? Kwamba hujampenda ila wamtamani tu? Miezi mitano ni michache kumjua mtu kivile. Uachie muda uamue kabla hujaupa moyo kazi ya uamuzi.I do trust him, hajanipa sababu za not to!
We are only 5 month old, hajaspeak out clearly na ring na vitu kama hivyo but there is WE in our discussion about the future!
Sijapenda kihivyo ndio maana inaniumiza.
You're in L.O.V.E mumie!...initiate mawasiliano ukiona kimya na kama mko mbalimbali sana, mtembeleane mara kadhaa (inategemea na mtakavyokubaliana ).
Hujapenda kihivyo? What do you mean? Kwamba hujampenda ila wamtamani tu? Miezi mitano ni michache kumjua mtu kivile. Uachie muda uamue kabla hujaupa moyo kazi ya uamuzi.
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kuna mficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?