We love each other. And naona kama yeye kazidi hivi..... maana sasa imebidi tujitahidi kila mtu apende apendacho mwenzie. Can u imagine nami eti nimekua mpenzi wa mpira siku hizi😉
Ha ha ha, mganga hajigangi aaisee
Ushauri wangu siuamini tena.
Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watotoNikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!
Ndoto zangu nyingi ni juu yake!
Nisiposikia sauti yake naumia!
Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto wangu
Nisipopata SMS nakasirika!
Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!
It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.
Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
Now I LOVE THE WAY HE LOVES ME.
then love the way you love him
wow...nataka kukupenda vlNatamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto
what if i wish you a goodnight?
love the way he lie on.
Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto