I hate my wife

Sawa kabisa.
 
Kama kosa ni uzinzi muache...tofauti na hapo kaa muongee myajenge
 
Kwanza pata mda Wa kupumzika, hiyo kichwa ngumu achana nae kabisa hiyo mkeo Fanya kama humuoni ila yupo, na usiyafikirie anayo yasema. Wewe ni niwathamani sana mbele za za mungu. Embu muangalie mungu anae kupa kupumua.sisi wote tuna madhaifu yetu.
 
Usijipe mawazo sana kwa kosa hill sijui kakutamkia nini waangalie watoto wako. Ndoa nyingi watu wanavumilia kwaajili ya watoto.
 
Hujatuambia nini amekufanyia lakini ninachokiona mimi ni kwamba utapata furaha pale tu utakapo repair ndoa yako. ....jitahidi brother muyaweke sawa kama ni mtu anayekusikiliza......Pia unahitaji ukutane na watu wa Psychology haraka iwezekanavyo
 
Kuna tatizo. Liko kwako. Kuna kitu wanandoa tunakisahau. Hapo UPENDO umekwisha kwenu nyote wawili. Bila kurejesha upendo, hata hao masheikh na wachungaji au hata wapiga ramli hawawezi badilisha kitu. Mtu akiondokewa na upendo kwa mwenzi wake, ni ngumu kusamehe na maisha huwa yanasimama. Ukiondokewa na upendo, kila kitu kwa mwenzio utakiona kasoro na kibaya. Nina uzoefu mzuri tu ktk migogoro ya aina yako ila aminj bado una nafasi. Kama hutojali, nitafute chemba. Nitakushangaza sana. Amini ndg yangu hakuna mbadala wa huyo mkeo. Ni wakwanza huyo. Mliapa mbele za Mungu. Kuwa kifo kitawatenganisha. Ni dhambi kufikiria kuishi kinyume na kiapo. Mwamdhikaki Mungu wenu. Na jitihada zifanywe kujenga na sio kubomoa. Ndoa ifufuliwe. Inawezekana kwa kuamini. Ukiweza nitafute. Nitakushangaza sana. Karibu
 
Umeeleweka sanaa mkuu.....
 
jamaaaa unaongeeea ila sioni point yoyote zaidi unajieleza kuwa una wasichanq wengi ila mke mmoja
 
Pole sana ila acha uzinzi,ndio maana laana haziishi,ukitaka ongeza mke,sio kuchezea watoto wa watu.
 
Mmmmmh hivi umri na wakati sahihi wa kuoa ni lini wajameni?
 
pole mkuu jaribu kutulizana na kutafuta soln ya tatizo taratibu usikate tamaa haraka hivyo,maisha ni safari ndefu
 
Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki.

.
when did you last have sex with your wife??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…