OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
Kichwa ngumu utamfanya nini Ole?! Ukweli ni kwamba huggie angekuwa karibu na mimi na DNA za mtoto zikaonekana ni za huyo mpenzi wake angekiona labda awe mgonjwa. Haiwezekani upende ngono afu matokeo yake yasikuhusu. Kwnn lkn hii hali tunaisababisha? Mimi nilizaliwa ktk nyumba ya baba na mama na nikakua hivyo, think about how others miss their relatives. Watoto wanaoitwa watukutu, wa mitaani, machokoraa, n.k. wanasababishwa kwa kiasi kikubwa na huu ujinga.
Chezea na joto alichukie yaani ajue kuna kupepewa na vitu kama hivyo!!!!Vilio vya kulazimisha uwe macho?
Ahahahahahahaha ngoooja Leo si ndo siku ya pili!
Dogo bado anashangaa shangaa oksijeni.
Ninao ila hawajui ukweli sija sema
Ngoja akutane na sma kopo 40-50 thou kila wiki mbili ndio atajua nini watu wanamwambia on psycho issue and breast feedingHuyu naona anahitaji kuendeleza maisha ya uboyfriend na ugirlfriend, hajui kama ameshakuwa mama. Anachohitaji yeye ni namna ya kumfanya boy wake arudi na si jinsi atakavyomlea mwanae.
inaonekana unapenda kuficha ficha vitu mpaka inafikia hatua mbaya ndo unasema kwanini usiwaambie a to z mapema
hongera kwa kuwa mama
lilikuwa swali langu la kwanza!
Nilistuka hatari!
Day one!.
Enhenhenhennhnhe nimeshangaa sana!.
Ila ni kweli yametokea!
Na wewe upitie UPT mapema kabla hujaniua kwa presha kaka yako!!!!
Unaona sasa kumbe angalau una sababu.japo mi sio kuwa naona alifanya sawa!
Jiambie tu kuwa alikujibu hivo kwa kuwa ana matatizo!
Ikuvushe ulipo!
Mi concern Yangu ni huyo cuttie wetu!
OLESAIDIMU kashaanza kupiga mahesabu ya ngombe! Usione anatuhimiza tukae kama familia!
Mamii lea binti yako!
Hakuna siku atakukana !
Unaweza kumwambia mtu nina mimba (sio nina mimba yako) akakuambia hongera plainly bila kuonesha excitement ukadhani kafurahi kumbe anakupa hongera kwa maana nyingine kabisa!!!!!
Labda wanachomwa sindano za ganzi!Nilifikiri nimeshangaa peke yangu. Hakymamama dunia inaelekea kubaya. Hivi siku hizi hakuna maumivu na uchungu wa kujifungua???
Simba whaaaaat????!!!!hahaha mimi tena nikifikiriaga imani waliyonayo kaka zangu sita nyumbani afu wanavyonilea kama yai dada yao pekee achilia mbali walioko humu kina Ntuzu na simba mwendapole OS afu nije kuwaangusha aiseeeeee nahisi sijui mtanigeuza kitoweo
No yeye anajua ni yake kabisa
Sio nawaza ka binti kangu hakama babaAF mbn kama unajali sana kuhusu the guy!
New mother gani we we??
Yani hufeel chchote kwa huyo mtoto wako?
Huyo mwanaume matters kuliko mwanao?
Siku hiz mnapewa buscopan labor enh?
Umempa mtoto wangu mimba alafu una mkataa kijinga jinga.Dingi yangu mkorofi.Kwa kosa gani kwa mfano???!!!!
Umempa mtoto wangu mimba alafu una mkataa kijinga jinga.Dingi yangu mkorofi.
Naelewa ila namlilia mwanangu yeye najiaji anisaidie matunzo tuYani ujue tunajaribu kukutoa ulipo kimawazo af we ni wa juzi ujue!
Hii post mpk inafika hapa hujafunguka akili hata!
Af unapoteza concentration ya kunyonyesha huyo angel kwa kumtetea na kulilia mwanaume aliyekuacha crucial time like urs!
mnapendaje watu hivi mpk mnajisahau Nafsi zenu?
Sio nawaza ka binti kangu hakama baba
Akija kuoa huyo mwanamke asizaeAaanh mamy we hebu lea mwana mambo ya laana wakati we na yeye mko fungu moja achana nayo!!!!!
Niwakorofi ndo maana najaribu kumuweka sawa baba wa mtoto ili nisije kumuaribia maana baba yangu namjua mimi mwenyewe
Mi nachanganyikiwa kwakweli najikaza tu.Ha ha haaaaa hebu acha utamtia aibu huyo mzee wa watu!!!! Aonekane desperate bila sababu ya maana..akiulizwa alikuwepo wakati mimba inaingia atajibu nini???!!!! Akiambiwa kakutuma utegeshe atajibu nini???!!!