I dont want it

Nilimuambia week za mwisho mwisho

Kwanini umwambie wiki za mwishomwisho? huoni mwenzako anakuwa na mashaka na wewe kwa kumficha kwa miezi yote hiyo? je mlikuwa hampo karibu ktk kipindi chote cha ujauzito? kama ndio ni kwanini?
 
Wanajirudigi kweli?

Hahahaaa yaani we shida yako ni ndoa tu! Huna worry yoyote! Manake unasema unampenda sana unataka mkae wote mumlee mtoto! Hiyo ni ndoa sasa!
Ndoa haina namna ya kuilazimisha au kuimanuva kwa sababu ya mtoto!
Pumzika kwanza lea mwanao usipate stress! Kama ni wako huyo atarudi na mtafunga ndoa na kulea mwanenu! Muamini Mungu!
Anaweza asikuoe lakini ahudumie mtoto wake! Mpe muda tu!
Otherwise hongera mamii
 
huyu mdada needs a brother!a father!.
Nyakati kama hizi a woman anahitaji ndugu yake wa kiume!
Kaka ,baba ,binamu also can do!
Mbona anapita kiulaini tu hapa!
huggies unae kaka?babako yupo? Binamu wa kiume?
Stick with them!
 
Last edited by a moderator:
Lakini alikuja kujua kua nina mimba na akaniambia hongera sijui nani kamroga sasa hivi.

Alijua una mimba au mimba yake????!!!

Hivi hongera unajua inaweza kuwa ya kukusukumia mbali???!!!
 

Wipes ziko mpaka buku tano acha maneno mdada!!!!!
Fanya ya mbolea tulee ankali
 
Lakini alikuja kujua kua nina mimba na akaniambia hongera sijui nani kamroga sasa hivi.

Dada usife moyo! najua na unajua kwa kiasi gani cha makosa uliyofanya! cha msingi lea mtoto wako kwanza huku ukitafakari mustakabali wako, labda kinachokuchanganya ni uwezo wa kumtunza mtoto? kama una ndugu hawataweza kukutupa. Usije kukata tamaa na maisha, kama mtoto ni wa huyo mwanaume ipo siku atatendwa kama alivyokutenda hapo ndipo atakapokutafuta.
 
huyu mdada needs a brother!a father!.
Nyakati kama hizi a woman anahitaji ndugu yake wa kiume!
Kaka ,baba ,binamu also can do!
Mbona anapita kiulaini tu hapa!
huggies unae kaka?babako yupo? Binamu wa kiume?
Stick with them!

Aaaanh ndio jamii sasa ngoja ale kitonga kwa ncha za vidole!!!!
Naye sasa awe mwepesi kama ana guts aite familia awaeleze once and for all na kale ka mbinu alikaleta mzee Mtambuzi akika apply aaanh nusu saa nyingi watu mi pleji hiyoooooo!!!!!

Basi usilie tuko pamoja na kama hayo
 
Last edited by a moderator:


Yap, hakuna moment tamu kama kunyonyesha huku unakiangalia kitoto na kutafakari ukuu na ajabu ya uumbaji wa Mungu,,, kitoto kinanyonyaaaaa kinarusha rusha miguuu, kinakushika shika full upendoo.... huggies RELAX .... relax utajua la kufanya... kwa sasa u need to relaxxxxxx
 
Last edited by a moderator:
Sawa acha nimpe muda
 
Wipes ziko mpaka buku tano acha maneno mdada!!!!!
Fanya ya mbolea tulee ankali

Hiiiiilo ndo la msingi!
Yani la sekendare kabisaaaaaa!
Enhenhenhe watoto wa ujombani wanakuwaga viiiiichwa!
 
Acknowledge my kaka Olesaidimu!

Thanx mamy ila tena ndio nisiwe uchochoro wa kitaa wapita njia na haja ndogo humohumo!!!!

Baneni miguu jamani sio tena na wewe uje hivi kwa styLe hii, na michozi uko pregooo NOOO!!!!!

badiebey, Heaven on Earth mtoe kopi maneno haya na muyatumie huko kwenye dinner, get together, sijui tunamuaga mfanyakazi mwenzetu kumbeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Yani huwa ni raaaaaha!
Ile ananyonya unaona kabisa bond yenu ilivyo priceless!
Ajipe tu hilo zoezi aone
 
Last edited by a moderator:
Kwanini umwambie wiki za mwishomwisho? huoni mwenzako anakuwa na mashaka na wewe kwa kumficha kwa miezi yote hiyo? je mlikuwa hampo karibu ktk kipindi chote cha ujauzito? kama ndio ni kwanini?
Yeye anasafirigi na tumbo wala halikua kubwa yani miezi 9 ilokua kama miezi 5 na na alikua na matatizo ndo maana nikaona bora nikae kimya kwanza nilivyoona siku zinazidi kwenda nikamwambia ukweli.
 
Sawa acha nimpe muda

Wee oddo kwan mamkubwa kalala?
I hope na we umejilaza pembeni!
Usikae sana mgongo utauma huoooo,mpk nikipata shemdarling mwingine ushindwe kumhug! Oh!
 
Hiiiiilo ndo la msingi!
Yani la sekendare kabisaaaaaa!
Enhenhenhe watoto wa ujombani wanakuwaga viiiiichwa!
Sababu wanakuwa cared left right and centre halafu anakuwa free mara bibi mara babu ooonh anko sijui antie yaani boyanti flani hivi hii inampa piece of mind na good brain development!!!!

Ukiweka na lishe bora aaaaanh kazi kwako ada tu na kuulizwa maswali mpaka mengine unaona kama katumwa!!!!!
 
Reactions: Kbd

I just love him sihitaji anioe i already have a baby inatosha sasa i wish lakini
 
Nilimuambia week za mwisho mwisho

Nakumbuka wakati naenda kuanza kazi baba aliniambia msemo huu; " TOO LATE LEFT ME BEHIND" so alimaanisha kila kitu nikifanye kwa wakati unaotakiwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…