I dont want it

Umeona eeh, watu wanakataliwa na bwana na wazazi lakini wanasongesha maisha tu

umenikosha sana maana asione watu wako kimya humu akajua ye ndo wa kwanza kukataliwa!ila mtoto kwanza mengine baadae
 
dada mkubwa kipindi wanakupa firstborn umshike nawe ulikua kwenye hii situation ya kuwaza mtoto hana baba
Mtoto Wangu wa kwanza nilimpata nikiwa home my dear!
Nikaja kuolewa five yrs after!
Ndo mana hata we we siku ile sikukuelewa sweetie!
 
acha kabisa, mie nlivyomuona alinichekesha.

afu nikasikia upendo wa agape wa ajabu, nikawa nazunguka kitanda kama mtetea, kumnyanyua siwezi naona ntamnyofoa.

Asingekuwa nesi kunikuta, ningefanya ya ajabu.Nlitaka kumvalisha taksido nesi akapiga mayowe, niko bize vibaya siwezi hata kulala, dunia ndio ilizaa siku ile.

Acheni festi boni wapendwe, wana nafasi kwa kweli na memoriz kibao.

 
Aaaand Suprise sikuwahi kuwaza kuwa mtoto Wangu hana baba!
Why shud I ?
Nilimtoa mtini?
My baby had me!
Nilitosha kabisa kumpa nilichotaka akipate!.
 
Last edited by a moderator:
Enhrnhenhenhe kwa kweeeli!
Kukanyanyua unaona katavunjika kukaacha unaona hukatendei haki!
Matiti yanauma upo tu kutaka kanyonye!
Mweeeee eti sa hiz nalipa ada ya sekendare!
 
acha kabisa.

Mie hapa nlikuwa naswalikwa mambo ya uchaguzi next year, nani nampa nafasi sana.

Top 4 yake ya wagombea wa uraisi, nimeishia kucheka tu.

Nimesimuliwa mambo hapa, nikacheka tu.
Enhrnhenhenhe kwa kweeeli!
Kukanyanyua unaona katavunjika kukaacha unaona hukatendei haki!
Matiti yanauma upo tu kutaka kanyonye!
Mweeeee eti sa hiz nalipa ada ya sekendare!
 
acha kabisa.

Mie hapa nlikuwa naswalikwa mambo ya uchaguzi next year, nani nampa nafasi sana.

Top 4 yake ya wagombea wa uraisi, nimeishia kucheka tu.

Nimesimuliwa mambo hapa, nikacheka tu.

Hahahahaha watoto wanakua too fast!
Too fast
 
Kaunga ukuje huku!
Nataka yale manondo yako kwny kesi kama hizi
 
Last edited by a moderator:
Mhhh polehh mwaya.
Nikiwazaga hapo tu........
 
Kukojoa ndani.,..hebu fafanua
 
me nakutakia malezi mema hata kama baba amezingua wew fanya jitihada uweze kumlea mtoto vizur
 

Hongera sana. Jipe moyo utashinda mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…