haa ha pole myd kurucee,ila wadada sie bana!!!!but kizee hikihiki kingekua pedeshee kuna mahali kingepata kibali ya kuscrew the a..ss kbs na wala it wudnt appear like an embarassment
Najaribu kukuimagine jinsi ulivyopigwa na bumbuwazi la hali ya juu na uso kukushuka kwa kuadhiriwa hivyo mbele ya kadamnasi. Kariakoo kule ni sehemu noma sana, imagine kama ungekuwa na hubby zingepigwa ngumi za kufa mtu na hapo ndio babu angeweza kupiga kelele za mwizi na hili la kuitwa mwizi huombi likutokee Kkoo au sehemu nyingine yeyote ile maana wanaweza kukudedisha kwa dakika chache tu. Ustaarabu siku hizi nchini kwetu ni SIFURI pamoja na kumuomba samahani lakini akaamua kukuadhiri..... Pole sana aisee