Ongeza ukaribu na mahusiano mema na watu wa jinsi zote, utajua tu.
Mh! Hata mimi nna hilo tatizo.. Yaani baada ya kupata ninachotaka huwa nawakinai ghafla...
Msaada tafadhali.
wapendwaa katika jina la bwanaa...mwezenu sijui nini?kuna tabia nime kua nayo sasaa nimiaka NANE,yani sijui KUPENDA,nakumbukaa nilikuwa na gal nikiwa na umri wa miaka 18 nilimpenda sanaa,ilaa alirudi kwao rwanda.tokea hapo moyo wangu haujiskii kabisa kupenda mwanamke japo kuchakachua nachakachua ilaa ikipitaa mwezi na kutaa sina feelin za kumpenda tenaaa.nishajaribu kujifunza tena kupendaa ila nashindwaa,stakii kuangaikaa sanaa ila SIJUI KUPENDA TENA.now na miakaa 26.nshakuwa kwenye uhusiana kama mara 3 ilaa naona na waumiza tu wanawake cse moyoni sijui kumpenda tena mtu...WHY?
Mh! Hata mimi nna hilo tatizo.. Yaani baada ya kupata ninachotaka huwa nawakinai ghafla...
Msaada tafadhali.
kwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori!

huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori![/QUOTE]
hahaaaaaaaa cheusi umenichekesha mweee
mmmh!!nimependaa hiiiikwa kweli cjui hilo ni tatizo gani ila nadhani hujakutana na mwenye uwezo wa kuactivate moyo wako siku ukikutana naye utashangaa moyo unadunda kwa style uliokua ukidunda kwa yule mnyaruanda wako na utashangaa utaavyompenda!
huwezi kumpenda kila msichana ila atatokea mmoja atakayefanya uimbe yori yori!